barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kamanda lissu leo kasemaje? Naona hamna taimu nae..Hivi Ambaruty kugombea jimbo gani? [emoji23][emoji23]
Leo ndio umeongea point.Umaarufu huo kautoa wapi? Au kushiriki hayo ma bongo fleva ndiyo umaarufu?
Kwahiyo Salma ndie Mbunge wangu mtarajiwa sio?! Lakini asiende kichwa kichwa akadhani ex-First Lady title itampa ubunge kirahisi rahisi... asisahau yaliyomkuta Said Mtanda aliyekuwa amepelekwa kule na JK! Mbaya zaidi, Membe mwenye ushawishi kwenye baadhi ya vijiji mwaka huu hayupo!!SALMA KIKWETE 92 , AHMED SAID MDERU 68, RIZIKI LUDIDA 62. MCHINGA HIYO
Mmawia, leo kamanda kasemaje naona mnajaza tu uzi za sisiemu...
Asante! Duh mwambalaswa,napiga cm hapokei Mara hapatikani! Naye ni mzee bwana apumzikeJimbo la Lupa (Chunya):
Hadi sasa mbunge anayetetea nafasi yake Mh. Mwambalaswa anapumulia machine huku Kasaka ( Kijana wa marehemu Njelu Kasaka) akiwa anakimbiza, kura zinaendelea kuhesabiwa.
Cc: Christine1
Kamanda lissu leo kasemaje? Naona hamna taimu nae..
Anakuja tz au anaishia kenya? Jamaa mwoga sana. Kawa keyboard hero kama nyie tu.Mh Lissu rais mtarajiwa baada ya uchaguzi wa October anaingia kesho kutwa ktk ardhi ya Tanzania.
Ikumbukwe kuwa baada ya jaribio la kishenzi la kutaka kumuua kwa risasi karibia 38 pale mjini Dodoma akiwa anashiriki vikao vya bunge.
Lissu anaingia akiwa ndiye mkombozi wa watanzania.
HaahaaaaIla wale waliounga juhudi wananyoshwa hatari..wakisimama nchale, wakikaa nchale[emoji28][emoji28][emoji28]
Duh huyu Maza katoboaSALMA KIKWETE 92 , AHMED SAID MDERU 68, RIZIKI LUDIDA 62. MCHINGA HIYO
Yaani na katoa kweli virushwarushwa pale Lindi, ngoja nikae kimya tuHuyu salma hapana,tunamfuta awaachie vijana,tamaa gani hizi jmn
JESUS IS LORD[emoji120]
Anakuja tz au anaishia kenya? Jamaa mwoga sana. Kawa keyboard hero kama nyie tu.
Paulina Ghekuli masikini juzi alikuwa anaomba pesa hali mbaya, leo watu wamefyeka.Dah huyu Chambili anahangaikia ubunge hadi huruma, last time alivaa hadi dera lakini watu wakamfyekelea mbaliii.
Kisha anaondoka lini?Anaingia Tanzania [emoji1241]
Whaaaaat?! Yaani ndo sera zake hizo?! Sasa umaarufu wake kwa akina WizKid kutamsaidia vp angalau mtu wa Mkuyuni let alone jimbo zima la Morogoro?!Nimeona babu tale anajisifia eti anajulikana nje zaidi pia ni maarufu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaani kutoka first lady kote hajatoshekaHuyu salma hapana,tunamfuta awaachie vijana,tamaa gani hizi jmn
JESUS IS LORD[emoji120]
Si ndo hapo,apishe vijanaYaaani kutoka first lady kote hajatosheka