Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
SALMA KIKWETE 92 , AHMED SAID MDERU 68, RIZIKI LUDIDA 62. MCHINGA HIYO
Kwahiyo Salma ndie Mbunge wangu mtarajiwa sio?! Lakini asiende kichwa kichwa akadhani ex-First Lady title itampa ubunge kirahisi rahisi... asisahau yaliyomkuta Said Mtanda aliyekuwa amepelekwa kule na JK! Mbaya zaidi, Membe mwenye ushawishi kwenye baadhi ya vijiji mwaka huu hayupo!!
 
Mh Lissu rais mtarajiwa baada ya uchaguzi wa October anaingia kesho kutwa ktk ardhi ya Tanzania.

Ikumbukwe kuwa baada ya jaribio la kishenzi la kutaka kumuua kwa risasi karibia 38 pale mjini Dodoma akiwa anashiriki vikao vya bunge.

Lissu anaingia akiwa ndiye mkombozi wa watanzania.
Mmawia, leo kamanda kasemaje naona mnajaza tu uzi za sisiemu...
 
Jimbo la Lupa (Chunya):
Hadi sasa mbunge anayetetea nafasi yake Mh. Mwambalaswa anapumulia machine huku Kasaka ( Kijana wa marehemu Njelu Kasaka) akiwa anakimbiza, kura zinaendelea kuhesabiwa.
Cc: Christine1
Asante! Duh mwambalaswa,napiga cm hapokei Mara hapatikani! Naye ni mzee bwana apumzike
[emoji848][emoji850][emoji87]ss itakuwaje takula nn,taambia nn watu
[emoji23][emoji23]aah bwana atoke tu

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Mh Lissu rais mtarajiwa baada ya uchaguzi wa October anaingia kesho kutwa ktk ardhi ya Tanzania.

Ikumbukwe kuwa baada ya jaribio la kishenzi la kutaka kumuua kwa risasi karibia 38 pale mjini Dodoma akiwa anashiriki vikao vya bunge.

Lissu anaingia akiwa ndiye mkombozi wa watanzania.
Anakuja tz au anaishia kenya? Jamaa mwoga sana. Kawa keyboard hero kama nyie tu.
 
Mwenye matokeo ya kura za maoni CCM jimbo la Malinyi naomba anijuze.
 
Ukonga majina ya Gery Slaa na Robert Masegeti yaanza kujirudia rudia sana kwenye zoezi la kuhesabu!!!
 
Nimeona babu tale anajisifia eti anajulikana nje zaidi pia ni maarufu [emoji23][emoji23][emoji23]
Whaaaaat?! Yaani ndo sera zake hizo?! Sasa umaarufu wake kwa akina WizKid kutamsaidia vp angalau mtu wa Mkuyuni let alone jimbo zima la Morogoro?!

Yale yale ya Pascal Mayalla ya kutoa 10M kwa kila kata!!!! We Pasco, hivi hizi tuhuma ni za kweli kwamba umeahidi 10M?! Sasa ndugu yangu si ungeniambia bhana niwe Political Strategist wako?!
 
Back
Top Bottom