Huyo wachana naye maana kwa sasa anasumbuliwa na njaa ya uzeeni, hata wakati mwingine akili zake hazifanyi kazi.
 
Haswa hilo ndiyo jambo ambalo washauri wa mambo ya kisiasa naona hawakumtendea Tulia
Ukiacha mambo yote ya Sugu kuwa na ngome yenye nguvu na kukubalika Mbeya, Watu wa Mbeya hawakubali kuongozwa na mwanamke.
 
MKUTANO MKUU WA JIMBO LA LA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIMBO LA BUNDA, MKUTANO HUU WA UCHAGUZI UMEFANYIKA LEO TAREHE 21/7/2020, KATIKA UKUMBI WA MAKONGORO SEKONDARI, JIMBO HILI LA BUNDA TARAFA YA CHAMRIHO LINA KATA SABA
1. NYAMUSWA INA
2. KITARE
3. NYAMANG'UTA
4. MUGETTA
5. MIHINGO
6. SALAMA
MKUTANO HUU ULIKUWA NA JUMLA YA WAJUMBE HALALI 338
MATOKE NI KAMA IFUATAVYO: 1-BONIPHANCE M.GITERE KURA 162 NA ALOCYE KANDORE MUSIKA KURA 140, NAMBA TATU SIMJUI KWA KWELI JINA GUMU
LAKINI KAKA YETU FYEKA SUMERA AKAPATA KURA 4
 
Ati nimeshiba

Ati nilikuwa na mishahara maratatu ya bungeletu nani kakuuliza

Aisee hii aibu kubwa sanaa

Wanyakyusa ccm oyeeee

Ttununuuuuuuuu

Ahsanten kwa kazi nzuri
Banyambala hawataki mambo ya kijinga jinga kujikweza kuwa yeye ni bora kuliko waliomchagua!! Sasa aende akale hizo degree zake za mature age!!
 
Jamani hivi jimbo kwa olesendeka, ni nani aliyemaliza muda wake,aliyekuwa mbunge ni nani ?
Na yeye alihama cdm au?

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Official: Jimbo la Lupa (Chunya)
Kasaka kashinda kwa kura nyingi sana dhidi ya mbunge anayemaliza muda wake Mwambalaswa.

Note:
Nikipata matokeo (numbers) nitaweka
Cc Christine1
Asante kwa taarifa!
Duh sa itakuje[emoji374][emoji373][emoji375][emoji1009][emoji23]

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Insemekana mshindi ni mpwa wa Baba.
Mshindi wa pili nae ni mzuri. Alikuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki.
Gwajima hana kitu. Sana sana atagawa kura kutokana na imani za watu na madharau yake.
 
Mkuu, Sugu kushindwa lazima figisu ifanyike ya uhakika. Yawezekana atakayetangazwa mshindi akawa Dr Tulia lakini lazima kila aina ya hila ifanyike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…