Jamani hivi jimbo kwa olesendeka, ni nani aliyemaliza muda wake,aliyekuwa mbunge ni nani ?
Na yeye alihama cdm au?
JESUS IS LORD[emoji120]
😂😂😂😂😂Ni huyo James Ole Millya alishinda uchaguzi wa marudio baada ya kuunga juhudi akitokea Chadema.
Joto ya jiwe jusi kwisha jua, mboga mboga safari hii wamejitahidi kupiga spana wasaliti na vikongwe.Asante kwa taarifa!
Duh sa itakuje[emoji374][emoji373][emoji375][emoji1009][emoji23]
JESUS IS LORD[emoji120]
Kwani bado ukonga hakijaeleweka?Ukonga majina ya Gery Slaa na Robert Masegeti yaanza kujirudia rudia sana kwenye zoezi la kuhesabu!!!
Hamna tofauti ni Jitu Son Patelni Jitu Patel au Jitu Son?
Wakuda wote wanapitia kipigo kitakatifu.
Ni kupigwa spana tu[emoji23][emoji23] ccm wamemgomea Meko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee wananyooka vibaya balaaa....
Duh,safi sana,japo olesendeka simpendi!Ni huyo James Ole Millya alishinda uchaguzi wa marudio baada ya kuunga juhudi akitokea Chadema.
Akishinda lissu nakununulia juisi ya miwa glass moja wewe na familia yake mshee..Tuombe uzima Mungu atufikishe tushuhudie utakavyo umenuna siku akiapishwa
Pesa huwa haitoshi mkuuHuyu salma hapana,tunamfuta awaachie vijana,tamaa gani hizi jmn
JESUS IS LORD[emoji120]
Ndio wanahesabu ila Silaa anashindaKwani bado ukonga hakijaeleweka?
Mkuu, mpaka kura za maoni ziishe utakuwa umeshangaa sana, hizo Loooh zitakuwa nyingi sana, ndio siasa zetu hizo lakini.Jamani yaani sendeka kapita? Loooh
JESUS IS LORD[emoji120]
NAONA UPINZANI UNAPITA KIRAHISI SANAMKUTANO MKUU WA JIMBO LA LA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIMBO LA BUNDA, MKUTANO HUU WA UCHAGUZI UMEFANYIKA LEO TAREHE 21/7/2020, KATIKA UKUMBI WA MAKONGORO SEKONDARI, JIMBO HILI LA BUNDA TARAFA YA CHAMRIHO LINA KATA SABA
1. NYAMUSWA INA
2. KITARE
3. NYAMANG'UTA
4. MUGETTA
5. MIHINGO
6. SALAMA
MKUTANO HUU ULIKUWA NA JUMLA YA WAJUMBE HALALI 338
MATOKE NI KAMA IFUATAVYO: 1-BONIPHANCE M.GITERE KURA 162 NA ALOCYE KANDORE MUSIKA KURA 140, NAMBA TATU SIMJUI KWA KWELI JINA GUMU
LAKINI KAKA YETU FYEKA SUMERA AKAPATA KURA 4
Hii waige kwa kweli ni jambo jema, pia inasaidia kupromote wagombea kwenye maeneo yao na kuongeza hamasa ya uchaguzi mkuu hasa ukizingatia walipigwa pin kufanya siasa muda mrefu.Natamani vyama vya upinzani vingekuwa walau na mchakato wa wazi namna hii, hamasa ni kubwa, awareness ni kubwa hata kwa wasio na mrengo wowote.