Duh me namuombea boss masache njelu kasaka apite tu uyu mzee amezidi kulala bungeni
 
Huyu boniface si ndo alikuwa mbunge kafanya lipi la maana kwa wana bunda vijijini? Hiyo barabara iliyoishia yamuswa ameshindwa kushawishi serikali ili ipigwe rami hadi serengeti?
 
Unatumia kigezo gani kusema Tulia lazima ashinde? Kwanini Sugu asishinde?
Sugu kushinda hilo liko wazi kabisa mkuu, nimesema yawezekana atakayetangazwa ni Dr Tulia. Soma vizuri mkuu na hapo ndo maana nikasema lazima figisu ya maana ifanyike. Sugu alitutesa sana timu Shitambala 2015, this time Tulia ana mkono toka juu na hapo ndio mwanzo wa sintofahamu.
 
Jerry Silaa anaongoza jimbo la Ukonga kwa kura 206. Channel ten wanaonesha LIVE hivi sasa. Ikumbukwe huyu alishindwa mwaka 2015 na Waitara wakati huo akiwa Chadema kwenye jimbo hilo hilo la Ukonga.
 
Pia mimi nina wasiwasi Mkubwa ikiwa washindi hawa watatangazwa
Sugu
Mdee
Heche
Lema
Msigwa
 
Hamna tofauti ni Jitu Son Patel

Jitu Patel ni mtu mwingine na alishakimbia nchi nadhani ni wanted kwa zile tenda zake za Jeshi

Huyu wa babati ni Jitu Faraar Vraijalal Soni

Sijui hilo la Patel umelitoa wapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…