Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Sugu kushinda hilo liko wazi kabisa mkuu, nimesema yawezekana atakayetangazwa ni Dr Tulia. Soma vizuri mkuu na hapo ndo maana nikasema lazima figisu ya maana ifanyike. Sugu alitutesa sana timu Shitambala 2015, this time Tulia ana mkono toka juu na hapo ndio mwanzo wa sintofahamu.
Wahuni wengi hawana kadi za kupiga kura saiz tunondoka na Dr. Tulia
 
Wahuni wengi hawana kadi za kupiga kura saiz tunondoka na Dr. Tulia
Mkuu mimi Mbeya mjini ni mwenyeji, hicho unachosema hakiakisi picha halisi ya Mbeya mjini. Angalia kura alizopata Sugu 2015 alafu ndo useme wahuni wengi hawana kadi za kupigia kura. Nilishauri Tulia angegombea kwao Rungwe (kwa Mh Sauli) pengine ingekuwa rahisi zaidi kwake. Tusubiri uchaguzi mkuu.
 
Jaman mwenye matokeo ya Namtumbo aweke hapa dada yangu yupo kinyang'anyironi
 
Taarifa ya uchaguzi wa kura za maoni kumchagua mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM jimbo la Rorya .. mkutano uliofanyika katika uwanja wa ofisi ya CCM wilaya Rorya leo 21.07.2020 kama ifuatavyo.

Jumla ya wagombea wote ni 49 kati yao wakike 02.

Idadi ya Wapiga kura jumla 772
Kura zilizoharibika jumla 01

1.AGWEYO MUSA NIKODEMOS =02

2. ARIRA MAGO ROBART= 00
-

3.ANDATA APIYO PHILIPO= 01

4. CHEGE WAMBURA JAFARI = 152


5. EDWARD FREY = 07
-

6. EVARISTI MOTETE JUVENILISI= 80
-

7.GASPAR BOSCO PAUL = 20
-

8. IGOGO JOHANES DADY = 00


9. HONDE SEBASTIAN MAHAMBA= 00


10. JOHN MOTERA JUMA.= 03


11.KASINGA SIAGI GEORGE = 05
-

12. FREDRICK MAGADI = 39


13. MAGANYA ABDUL = 50

14. MAGONGWE MOKAMI DEOGRATIUS = 02


15 MAKONG'ANG'A ALOYCE =02


16. IRINE OLANDO MAKONGORO= 15


17. MARANDI PETER = 01

18. MARWA WILBARD MSAFIRI = 09
-
19. MASAHI CHRISTOPHER MASAHI=06
-

20. HARSON OMBOGO ONYONA= 13

21.MAGIRE OMBUO = 03
-
22. MIRUMBE SASI WAMBURA= 10
-
23. MONYO BUSIRO JOHANESS = 13
-
24. KICHERE CHACHA MUSA = 02

25. NGAITA WAMBURA EDWARD = 08

26.JULIAS WILLIUM NYAHONGO = 26

27.NYAMBITA PHILIP NI MGONJWA = 00

28. OKWASA ORASI ERICK= 01

29. OCHAI OTIENO CHARLES - HAYUPO= 00

30. MIRIUM ROBART ODEMBA = 00

31.OJWANGI OJOGA KENEDY= 03

32. MUSA LAMECK OKELO= 02

33.OLUOCH TOM EZEKIEL= 06

34. OLWERO GENGA = 121

35.OMOLO GALUS SOS = 01

36.OMOLO NICHOLAUS= 00

37.OSOGO MATIKO OBUYA= 05

38.OTIENO SAMWEL JANES = 01

39.LEONARD M OTUOMA = 52

40.OWINO ANG'IELA AMAINA= 22

41.LUSARA ABUYA = 03

42.SAMAEA MATIKO HAMIS = 10

43. SANYA MWITA CHRISTOPHER = 09

44.. SARONGE ODADA TIMON 06

45.PETER LEONARD SARONGE 04

46. WAMBURA CLIPHOD MTAMA = 04

47.WAMBURA MAKAMBA CHACHA = 01

48.WEMBE JEREMIAH DAVID = 52

49. WILLIUM JAMHURI FABIAN= 03

Marandi anatokea Busurwa, Prof. Mbusiro Monyo- Rwang'enyi, Fadhili Maganya- Gabimori . Huyu Jafari na Genga wanatokea wapi?
 
Back
Top Bottom