Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona Kulwa 600+ bukwimba 94. Hiki kipigo Cha...kokoKulwa Biteko kashinda. Bukwimba Chaliiiiiii
Sasa hivi yapo hapa JF kwenye page ya 1. Tale anaenda kuwa Baba Mlezi wa jamaa!!Kweli?
Poaaanakazia hapa
Kweli?
Huyu lembeli bado yupo dah watu n walafi hawatoshekiKahama Mjini
Jumanne Kishimba 234
Benjamin L. Ngayiwa 181
James Lembeli 54
David Anyandwile 27
Mkuu mimi Mbeya mjini ni mwenyeji, hicho unachosema hakiakisi picha halisi ya Mbeya mjini. Angalia kura alizopata Sugu 2015 alafu ndo useme wahuni wengi hawana kadi za kupigia kura. Nilishauri Tulia angegombea kwao Rungwe (kwa Mh Sauli) pengine ingekuwa rahisi zaidi kwake. Tusubiri uchaguzi mkuu.
Ni mtumishi wa serikali
Jimbo la Mwibara vepeeee? Huko Bunda, Mara.
Lembeli naye kazidisha tamaa, angemwambia lowasa ampigie kampeiniKahama Mjini
Jumanne Kishimba 234
Benjamin L. Ngayiwa 181
James Lembeli 54
David Anyandwile 27
hii wapi mkuu?1 Antipas Mgungusi kura 125
2. Meki Mdaku 91
3. Haji Mponda 49
Duuuh!Nasikia Musiba kapigwa za meno yote njee
Mwita waitara ameshinda lakini oktoba hatoboi
Ushindani wa Nini?Rorya baada ya aliekuwa mbunge wake kujitoa (Lameck, yule asiyechangia hoja bungeni), walau sasa kutakuwapo na ushindani halali