Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mkoa wa Lindi
Mchinga

Salma Kikwete 92
Ahmad Said Mderu 68
Riziki Lulida 62
Mohamed Abdulaziz 52
 
Tabora Mjini
Emmanuel Mwakasaka 283
Ismail Aden Rage 225
Remtullah Dewji Gulamhussein 47
Shaban Zubeir Mrutu 32
Sheikh Sharifu Matongo 14
 
Mbeya ni ngumu sana kwa Tulia, sijui kama alipata ushauri au waliamua kumuingiza chaka makusudi
Mkuu mimi Mbeya mjini ni mwenyeji, hicho unachosema hakiakisi picha halisi ya Mbeya mjini. Angalia kura alizopata Sugu 2015 alafu ndo useme wahuni wengi hawana kadi za kupigia kura. Nilishauri Tulia angegombea kwao Rungwe (kwa Mh Sauli) pengine ingekuwa rahisi zaidi kwake. Tusubiri uchaguzi mkuu.
 
Ni mtumishi wa serikali

Duh kwahiyo Dotto alikua kijiweni au??

Najaribu kupika kwamba mtu mpaka kuwa na uwezo wa kukamilisha mahitaji yako na kufinance kampeni ya dogo. Aliona potential kubwa sana
 
Back
Top Bottom