Sultan Zuwera
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 246
- 336
Na picha yake ndiyo hiyo anahesabu mwenyewe.Jerry Silaa anaongoza jimbo la Ukonga kwa kura 206. Channel ten wanaonesha LIVE hivi sasa. Ikumbukwe huyu alishindwa mwaka 2015 na Waitara wakati huo akiwa Chadema kwenye jimbo hilo hilo la Ukonga.