Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Jerry Silaa anaongoza jimbo la Ukonga kwa kura 206. Channel ten wanaonesha LIVE hivi sasa. Ikumbukwe huyu alishindwa mwaka 2015 na Waitara wakati huo akiwa Chadema kwenye jimbo hilo hilo la Ukonga.
Na picha yake ndiyo hiyo anahesabu mwenyewe.
20200721_194150.jpg
 
Anae mfahamu au kuifahamu historia ya mshindi wa kura za maoni Kawe antufahamishe tuanze muweka kwenye mizani na Mdee
 
Pia mimi nina wasiwasi Mkubwa ikiwa washindi hawa watatangazwa
Sugu
Mdee
Heche
Lema
Msigwa
Kwa Mdee na Heche wananchi wakikomaa lazima watangazwe, ila Mbeya na Arusha kwa namna yoyote wamejipanga kuyachukua wenye nchi yao.
 
Kwa Mdee na Heche wananchi wakikomaa lazima watangazwe, ila Mbeya na Arusha kwa namna yoyote wamejipanga kuyachukua wenye nchi yao.
Kwa uwezo wa wabunge hao kamwe hawana mpinzani zaidi ya mbavu kutumika kuwaondoa
 
Back
Top Bottom