Huyu lembeli bado yupo dah watu n walafi hawatosheki
Yaani naangalia viashiria vitakavyompa Tulia ushindi sivioni kabisa zaidi ya kufanya maghumashi. Tulijaribu 2015 ikawa ngumu sana kwani tofauti ya kura kwenye vituo ilikuwa inakuwa kubwa sana, ikabidi tuwe wapole tu.Mbeya ni ngumu sana kwa Tulia, sijui kama alipata ushauri au waliamua kumuingiza chaka makusudi
Hata JamiiForums update Ni kama hakuna, mleta uzi amekimbilia kuanzisha mada ambayo ameshindwa kuhimili kasi yake, sehemu nyingi wanatangaza na update zinatumwa humu na kwenye social media lakini yeye haweki update zozote kwakuwa ni swala linalofatilia nawengi Ni vyema hata kukawa na hata Moderator wanao update kwenye uzi huuNiipongeze mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii forums kwa jinsi ya updates za matokeo ya kura yalivyokua yakitiririka hakika toka jana tumekua tukifuatilia
Shida naiona ktk radio na tvs zetu sijui tatizo ni nini ?
Mchakato huu ni wa nchi nzima lakini cha ajabu tokea Jana tunaletewa matokeo mengi ni yale yale tu
Mkazo na nguvu zote umewekwa Kigamboni, Kawe na Dodoma ! Ni mambo ya ajabu kana kwamba ndio nchi imeishia hapo !
Utangazaji umekua mbovu sana hivi kweli tunaletewa matokeo ya jimbo la ruangwa na mtama unashindwa kutupa ya wilaya na lindi mjini ?
Yaani hadi saa hii wengine hatujapata matokeo kamili officially ya
Rukwa
Lindi
Musoma
Tanga
Monduli
Mbeya
Tabora
Moshi
Singida
Songea
Mtwara.. Nk toka jana wanatangazwa hao hao kina steve nyerere , chegeni, ndugai,...
Jamani jifunzeni kwa wenzenu akina CNN, BBC, ..
Tunashukuru Channel kwa update japo ya kituo kimoja tu, why msiwe mnazunguka sehemu tofauti ? Au shida ni budget ?
Hivi huyu nae aliunga Juhudi!??Watashika adabu yao.Waache wakawe wafagiaji hao vicheche..
Kumbuka huyo chalii wa CCM ni wa from Chato,so hakatwi mtu hapa.Wakimpitisha sawa ila hama haiba na hana mtaji wa wapiga kura. Jimbo la kawe lipo hadi mabwepande hadi huko salasala na madale huko ndani msigani na kazaroho...huko mwenye mtaji wa hawa wapiga kura ni gwajima! Wanamkua vizuri huko na ana wafuasi tele...kama watampitisha mwingine ni maamuzi yao ila wajue tofauti na hapo mdee wa kumtoa kawe ni gwajima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh.Tanga Mjini
Ummy Mwalimu 783
Omar Ahmed Ayoub 41
Juma Shaaban Kimwaga 33
Safi.wakuda wote wachezee kipigo kitakatifu ili liwe funzo kwa wengine.Cecil mwambe tushamchinjia baharini huku tayari miguu juu chali[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji2532][emoji3603]
Wampe.MwanaFa ingawa kashindwa Muheza lakini kapata kura 296. Kajitaidi ukilinganisha na wengine!!
Ajabu zaidi kuwahi kutokea ni pale tutakapo kuwa na waziri wa mambo ya ndani asie na vyeti akisimamia zoezi la polisi kukamata na kushtaki wasio/walio foji vyeti[emoji3]Sisi hilo halituhusu Mkuu ila tunavyojua ni kwamba kwa Jimbo la Kigamboni hakubaliki na wana Kigamboni wametuthibitishia hilo leo hii tena wazi.