Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mbeya ni ngumu sana kwa Tulia, sijui kama alipata ushauri au waliamua kumuingiza chaka makusudi
Yaani naangalia viashiria vitakavyompa Tulia ushindi sivioni kabisa zaidi ya kufanya maghumashi. Tulijaribu 2015 ikawa ngumu sana kwani tofauti ya kura kwenye vituo ilikuwa inakuwa kubwa sana, ikabidi tuwe wapole tu.
 
Kigoma Mjini

Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruani Abdallah Muhuza 10
 
Niipongeze mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii forums kwa jinsi ya updates za matokeo ya kura yalivyokua yakitiririka hakika toka jana tumekua tukifuatilia

Shida naiona ktk radio na tvs zetu sijui tatizo ni nini ?
Mchakato huu ni wa nchi nzima lakini cha ajabu tokea Jana tunaletewa matokeo mengi ni yale yale tu
Mkazo na nguvu zote umewekwa Kigamboni, Kawe na Dodoma ! Ni mambo ya ajabu kana kwamba ndio nchi imeishia hapo !
Utangazaji umekua mbovu sana hivi kweli tunaletewa matokeo ya jimbo la ruangwa na mtama unashindwa kutupa ya wilaya na lindi mjini ?
Yaani hadi saa hii wengine hatujapata matokeo kamili officially ya
Rukwa
Lindi
Musoma
Tanga
Monduli
Mbeya
Tabora
Moshi
Singida
Songea
Mtwara.. Nk toka jana wanatangazwa hao hao kina steve nyerere , chegeni, ndugai,...
Jamani jifunzeni kwa wenzenu akina CNN, BBC, ..
Tunashukuru Channel kwa update japo ya kituo kimoja tu, why msiwe mnazunguka sehemu tofauti ? Au shida ni budget ?
Hata JamiiForums update Ni kama hakuna, mleta uzi amekimbilia kuanzisha mada ambayo ameshindwa kuhimili kasi yake, sehemu nyingi wanatangaza na update zinatumwa humu na kwenye social media lakini yeye haweki update zozote kwakuwa ni swala linalofatilia nawengi Ni vyema hata kukawa na hata Moderator wanao update kwenye uzi huu
Roving Journalist
 
Wakimpitisha sawa ila hama haiba na hana mtaji wa wapiga kura. Jimbo la kawe lipo hadi mabwepande hadi huko salasala na madale huko ndani msigani na kazaroho...huko mwenye mtaji wa hawa wapiga kura ni gwajima! Wanamkua vizuri huko na ana wafuasi tele...kama watampitisha mwingine ni maamuzi yao ila wajue tofauti na hapo mdee wa kumtoa kawe ni gwajima.
Kumbuka huyo chalii wa CCM ni wa from Chato,so hakatwi mtu hapa.
 
Neno
Screenshot_20200721-200842.jpg
 
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini

Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Muhuza 10

Buhigwe (Manyovu)
Dr. Philip Isidor Mpango 297
Albert Ntabaliba Obama 76

Kasulu Mjini
Prof. Joyce Lazaro Ndalichako 405
Daniel Nicodemus Nsanzugwanko 80

Kigoma Kaskazini
Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51

Kigoma Kusini/Uvinza
Hasna Mwilima - 273
Nashon Bidyanguze - 143
January Kizito - 117
David Kafulila - 64

Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10

Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.

Buyungu
Aloyce Chinyeretse Kamamba 50
Msakila Kabende 47
Emmanuel Gwegenyeza 44
Eng. Christopher Chiza 33
Elia Fredrick Michael13

Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge

Muhambwe
Atashasta Nditiye - 250
Jamali Abdalah - 96
Dickson Bidebel - 50
 
Cecil mwambe tushamchinjia baharini huku tayari miguu juu chali[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji2532]‍[emoji3603]
Safi.wakuda wote wachezee kipigo kitakatifu ili liwe funzo kwa wengine.
 
Ni Mr Maboto
Ambaye serikali inaingiza asilimia kumi ya mishahara ya wafanyakazi kwenye account yake. Anaukwasi sio wa taifa hili.

Ambaye amekuwa analalamikiwa na watumishi kuwashikilia kwenye taasisi yake kwa mbinu zote ama kuwaachilia kwa masharti yanayo waumiza.

Anaye cheza vema na fursa hii ya fedha kichere kwa watumishi wa Umma kutunisha mfuko wake.

Ilikuwa Ni kama kumsukuma Mlevi ambapo amemdurusha mzee huyu kwenye ukumbi wa kupigia kura.
IMG-20200721-WA0065.jpg

Mtoto wa Stephen Wasira akisaini matokeo ya ubunge ya mzee wake baada ya mzee huyu kukimbia ukumbini kabla ya matokeo kutangazwa
 
Sisi hilo halituhusu Mkuu ila tunavyojua ni kwamba kwa Jimbo la Kigamboni hakubaliki na wana Kigamboni wametuthibitishia hilo leo hii tena wazi.
Ajabu zaidi kuwahi kutokea ni pale tutakapo kuwa na waziri wa mambo ya ndani asie na vyeti akisimamia zoezi la polisi kukamata na kushtaki wasio/walio foji vyeti[emoji3]
 
Aliyeanzisha hii thread alitakiwa kuwa na mtandao mkubwa wa vyanzo vya taarifa fikiria hadi sasa hakuna update ya baadhi ya mikoa yani Hana taarifa ya majimbo yote ya mikoa fulani ilhali majimbo hayo yamefanya uchaguzi tangu jana

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Back
Top Bottom