Mkuu macho na masikio yangu yapo Siha kwa sasa, natumai moleli atarudi kwao kuchunga ng'ombe na ndugu yetu Mwandri kupewa idhini ya kulitetea jimbo
Kuna wabunge wa kuteuliwa atamfikiria huyu mvuta bangi,Mtulia,Lijualikali,Waitara,Kalanga.

Wengine wanaweza kupewa ukatibu tawala au ukuu wa wilaya.

Nafikir wakishika nyadhifa hizo wasahau tena ubunge.
 
Nchemba kaponea chupu chupu. Amepita kwa kura chache sana! Inaoneka kama asingepewa Uwaziri, Kitila angetia nia Iramba na angeweza kumwangusha!!
Kwani kitila katia nia jimbo lipi?

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Hii nimeishuhudia huko Isimani kwao kiongozi mstaafu wa Bavicha mh Ole sosopi.

Watia nia watatu wa CCM wamepata kura 0 kwenye kura za maoni za watia nia ya ubunge.

Anayejua Tafadhali!

Maendeleo hayana vyama!



Tulia makonda chalii Mtulia wako chalii , na bado mtasaga meno Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…