Natamani vyama vya upinzani vingekuwa walau na mchakato wa wazi namna hii, hamasa ni kubwa, awareness ni kubwa hata kwa wasio na mrengo wowote.
Natamani NEC-Tanzania wahesabu hivi kura kwa uwazi,tuone mbivu na mbichi.
 



Aaaaaah.
 
Ni Mr Maboto
Ambaye serikali inaingiza asilimia kumi ya mishahara ya wafanyakazi kwenye account yake. Anaukwasi sio wa taifa hili.

Ambaye amekuwa analalamikiwa na watumishi kuwashikilia kwenye taasisi yake kwa mbinu zote ama kuwaachilia kwa masharti yanayo waumiza.

Anaye cheza vema na fursa hii ya fedha kichere kwa watumishi wa Umma kutunisha mfuko wake.

Ilikuwa Ni kama kumsukuma Mlevi ambapo amemdurusha mzee huyu kwenye ukumbi wa kupigia kura.
View attachment 1513086
Mtoto wa Stephen Wasira akisaini matokeo ya ubunge ya mzee wake baada ya mzee huyu kukimbia ukumbini kabla ya matokeo kutangazwa
 
Lakini pia hata hakuna members wa JF waziweke hapa.

Si dhani kama ni sahihi kuwa tunamtegemea yeye kutupa taarifa.
 
Kwa Mbeya wanajifariji tu kumng'oa Sugu sio issue ya kitoto patachimbika najua wanajipanga kuchakachua.
 
KALIUA TOWN

01.BITALIBUBE BENJAMIN STEPHEN 01
02.KAMKONO ZAWADI HAMADI 02
03.KAPUFI MOHAMMED ALLY 07
04.KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
05.KATUNDU MANGASINI ATANASI 22
06.KUCHEBA LEONARD SIXBERTY 06
07.KILATU DENIS LONGINO 71
08.KINYEGA JOYCE SPRINGI 03
09.KWEZI ALOYCE ANDREW 209
10.LUFUTA CHAGU MATHIAS 02.
11.LYOBA CEFACE JOHN 08
12.MATABULA IMANI MOSHI 17
13.MUSSA ISMAILI KALELANDA 0
14. SELEMAN SELEMAN OMARY 0
15.SITTA JUVENARY SAMWELI 0

WASHINDI TATU BORA
(1)KAPUYA ATHUMANI JUMA 217

(2)KWEZI ALOYCE ANDREW 209

(3)KILATU DENIS LONGINO 71
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…