Ni Mr Maboto
Ambaye serikali inaingiza asilimia kumi ya mishahara ya wafanyakazi kwenye account yake. Anaukwasi sio wa taifa hili.
Ambaye amekuwa analalamikiwa na watumishi kuwashikilia kwenye taasisi yake kwa mbinu zote ama kuwaachilia kwa masharti yanayo waumiza.
Anaye cheza vema na fursa hii ya fedha kichere kwa watumishi wa Umma kutunisha mfuko wake.
Ilikuwa Ni kama kumsukuma Mlevi ambapo amemdurusha mzee huyu kwenye ukumbi wa kupigia kura.
View attachment 1513086
Mtoto wa Stephen Wasira akisaini matokeo ya ubunge ya mzee wake baada ya mzee huyu kukimbia ukumbini kabla ya matokeo kutangazwa