Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Natamani vyama vya upinzani vingekuwa walau na mchakato wa wazi namna hii, hamasa ni kubwa, awareness ni kubwa hata kwa wasio na mrengo wowote.
Natamani NEC-Tanzania wahesabu hivi kura kwa uwazi,tuone mbivu na mbichi.
 
Ni Mr Maboto
Ambaye serikali inaingiza asilimia kumi ya mishahara ya wafanyakazi kwenye account yake. Anaukwasi sio wa taifa hili.

Ambaye amekuwa analalamikiwa na watumishi kuwashikilia kwenye taasisi yake kwa mbinu zote ama kuwaachilia kwa masharti yanayo waumiza.

Anaye cheza vema na fursa hii ya fedha kichere kwa watumishi wa Umma kutunisha mfuko wake.

Ilikuwa Ni kama kumsukuma Mlevi ambapo amemdurusha mzee huyu kwenye ukumbi wa kupigia kura.
View attachment 1513086
Mtoto wa Stephen Wasira akisaini matokeo ya ubunge ya mzee wake baada ya mzee huyu kukimbia ukumbini kabla ya matokeo kutangazwa

Aaaaaah.
 
Aliyeanzisha hii thread alitakiwa kuwa na mtandao mkubwa wa vyanzo vya taarifa fikiria hadi sasa hakuna update ya baadhi ya mikoa yani Hana taarifa ya majimbo yote ya mikoa fulani ilhali majimbo hayo yamefanya uchaguzi tangu jana

Mungu Ibariki Tz - MITz
Lakini pia hata hakuna members wa JF waziweke hapa.

Si dhani kama ni sahihi kuwa tunamtegemea yeye kutupa taarifa.
 
Mkuu mimi Mbeya mjini ni mwenyeji, hicho unachosema hakiakisi picha halisi ya Mbeya mjini. Angalia kura alizopata Sugu 2015 alafu ndo useme wahuni wengi hawana kadi za kupigia kura. Nilishauri Tulia angegombea kwao Rungwe (kwa Mh Sauli) pengine ingekuwa rahisi zaidi kwake. Tusubiri uchaguzi mkuu.
Kwa Mbeya wanajifariji tu kumng'oa Sugu sio issue ya kitoto patachimbika najua wanajipanga kuchakachua.
 
KALIUA TOWN

01.BITALIBUBE BENJAMIN STEPHEN 01
02.KAMKONO ZAWADI HAMADI 02
03.KAPUFI MOHAMMED ALLY 07
04.KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
05.KATUNDU MANGASINI ATANASI 22
06.KUCHEBA LEONARD SIXBERTY 06
07.KILATU DENIS LONGINO 71
08.KINYEGA JOYCE SPRINGI 03
09.KWEZI ALOYCE ANDREW 209
10.LUFUTA CHAGU MATHIAS 02.
11.LYOBA CEFACE JOHN 08
12.MATABULA IMANI MOSHI 17
13.MUSSA ISMAILI KALELANDA 0
14. SELEMAN SELEMAN OMARY 0
15.SITTA JUVENARY SAMWELI 0

WASHINDI TATU BORA
(1)KAPUYA ATHUMANI JUMA 217

(2)KWEZI ALOYCE ANDREW 209

(3)KILATU DENIS LONGINO 71
 
Back
Top Bottom