Jaman naomba kujua hivi form ya ubunge ccm Ni sh ngp??
Kuna mtu kaniuliza nmekosa jibu
 
Kigoma Mjini

Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruani Abdallah Muhuza 10
huyo juma ndo dokta mwaka
 
Hatimaye huyu dogo amerejea tena. Ameshinda kura za maoni jimbo la Ukonga. Tumuombee ili mwenye kisirani asije akakata jina lake.

Tulimmiss sana huyu bwana mdogo.
 
21 Julai 2020
Bunda Mjini

Wasira kushindwa kura ya maoni amkosa Bulaya
Kura za maoni ndani ya CCM ktk mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Bunda mjini mkoani mara washindi na kura zao ni kama ifuatavyo :
1.Robert Chacha Maboto - kura 140 2.Stephen Wasira - kura 115
3. Zullu Nanji - kura 63

 
Kamati ya watu 24.. nikiweka bahasha ya 5m kwa watu 20, inatosha kabisa kuhakikshiwa hadi nafasi ya uwaziri.


Bahasha ya 5m unampa nani ? Na je mgombea unakua Peke yako ?

Kwa sababu wewe ukiweka 5m mgombea mwingine Ataweka 10m mwingine 4m wanaopokea ni hao hao wajumbe mwisho wa siku wote mtaliwa hela atapigiwa kura yule anaekubalika
 
kudadeki yani kapuya kazaliwa mwaka wa mwisho wa utawala wa Hitler, ila bado anagombea uongozi 2020, walahi acha nipambane zaidi nikifika miaka 50 nitulie nile matunda yangu
 
Toka Maktaba online:

28 January 2018

Chadema ni Shetani kwa CCM: MZEE WASIRA
Wasira - 'Msishangae sisi kuwataja taja CHADEMA hapa, Hao ndio mashetani wetu wa kisiasa '


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…