Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo juma ndo dokta mwakaKigoma Mjini
Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruani Abdallah Muhuza 10
Kamati ya watu 24.. nikiweka bahasha ya 5m kwa watu 20, inatosha kabisa kuhakikshiwa hadi nafasi ya uwaziri.
Annaclare alikuwa DED same akaona UDED hautoshi akaona ubunge ndio deal.Baba yake, marehemu William Shija alikuwa mbunge na waziri enzi hizo.Asante kwa taarifa!
Ndo nilikuwa namtafuta huyu Annaclare Shija,aliacha ukuu wa wilaya au mkoa (sikumbuki vzr)
Yamemkuta sasa!
vipi ninja na musiba bado wanapumua..
Mtu na Pacha Wake hao..Hawa ndugu!??View attachment 1512983
He hee heeeeeh, vice first lady wamempiga spana...Same Magharibi
David Matayo= 389
Angela Kairuki=300
Wengine= 50
Ubunge CCM yeyote hapatiHatimaye huyu dogo amerejea tena. Ameshinda kura za maoni jimbo la Ukonga. Tumuombee ili mwenye kisirani asije akakata jina lake.
Tulimmiss sana huyu bwana mdogo.
Me sioni kama yeye ana shida, tatizo lipo kwa hao mazoba wanaompigia kura.Kapuya huyuhuyu au?
Aah bwana huyu aachie ss
28 January 2018
Wasira - 'Msishangae sisi kuwataja CHADEMA hapa, Hao ndio mashetani wetu hapa'
Walisoma SAUT Wote hao.. Dotto alikuwa President..Mapacha
Kapigana sana huyu hatimaye kapitaHamis Tabasam Hoyeeeeeeeeeeeeeeee