Bahasha ya 5m unampa nani ? Na je mgombea unakua Peke yako ?
Kwa sababu wewe ukiweka 5m mgombea mwingine Ataweka 10m mwingine 4m wanaopokea ni hao hao wajumbe mwisho wa siku wote mtaliwa hela atapigiwa kura yule anaekubalika
Nasikia shilingi laki moja.Jaman naomba kujua hivi form ya ubunge ccm Ni sh ngp??
Kuna mtu kaniuliza nmekosa jibu
Umeenda Mbeya hata mara moja katika hii miaka mitatu iliyopita? au unaishi kwa historia ya 2015?. kukubalika mitandaoni na watu ambao hata sio wapiga kura wako ndio kumewafelisha watu wengi. Hata kama Sugu ana nguvu Mbeya ila huwezi kubeza jitihada za huyo mama hata kidogo. Mwaka huu moto utawaka paleSiyo kuitunza bali naiishi na uhakika kwa 100%
Pole sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulichokuwa unakiombea hakijafanikiwa.Weka majibu ya Babu Tale.
Huyu Mtega jina lake la kwanza ni nani!?
Chadema INAOGOPWA sana na maccm.
Haina kufeli.Morogoro Kusini Mashariki:
Babutale - 318
Omary -242
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Babutale ndio atakuwa Baba mlezi wa Makonda sasa...Maisha haya!
Hawa jamaa wa CCM pamoja na kubebwa na dola, lakini CHADEMA bado inawafanya CCM kuweweseka kwa woga mkubwa.
Naomba ya Ushetu Mkuu..Kahama Mjini
Jumanne Kishimba 234
Benjamin L. Ngayiwa 181
James Lembeli 54
David Anyandwile 27
Umeenda Mbeya hata mara moja katika hii miaka mitatu iliyopita? au unaishi kwa historia ya 2015?. kukubalika mitandaoni na watu ambao hata sio wapiga kura wako ndio kumewafelisha watu wengi. Hata kama Sugu ana nguvu Mbeya ila huwezi kubeza jitihada za huyo mama hata kidogo. Mwaka huu moto utawaka pale
Shikamoo kangi lugola
eti anasema Bulaya alimwibia kura kuanzia juu mpaka chini.Atasema ameibiwa tena kama 2015
sasa unacheka niniHasiraa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Basi sio Mimi wala wewe mwenye kujua ana mihemko au hana👍
Hizi ni Stori za Mitaani Mkuu..Duh kwahiyo Dotto alikua kijiweni au??
Najaribu kupika kwamba mtu mpaka kuwa na uwezo wa kukamilisha mahitaji yako na kufinance kampeni ya dogo. Aliona potential kubwa sana
Nimepewa jina mojamoja, na nimeambiwa huyo wa 3 ni mwanamke na huyo Mtega ni wa ChimalaHuyu Mtega jina lake la kwanza ni nani!?
Sifahamu kuhusu hilo..chuo cha kata