TusubirieScreen shot hyo matokeo kgamboni
Huyu muongo tu,waaharibu Uzi hawaThibitisha mkuu
Anza safariHakuna wakumtoa makonda pale ww
Asipopita natembea uchi posta mpaka mbezi
Makonda chali???wakuu amkeni
labda ashinde njaaTwitter waongo. Makonda atashinda.
hahahahahaAnza safari
Sjaona,umeipata wapKumbe aliyeleta matokeo mwanzo hapa katudanganya makonda kapita
JESUS IS LORD[emoji120]
Kwann unaamini atashinda?Twitter waongo. Makonda atashinda.
Twitter waongo. Makonda atashinda.
Kule Jimbo la Moshi mjini pia ccm imenunuliwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro kumuuzia Jimbo mfanyabiashara ya mabasi ibra line. Kule singida nako chama kinauzwa kwa wafanyabiashara.Hali ni tete
Anza safari
Huko Twitter ndiko wanakopatikana wazushi wote wakiongozwa na kigogo
Kwani magomeni sio kinondoniAbas anachukua kinondoni, wenyewe tunamuelewa, hatumtaki idd azzan tena alikua mbunge wa kinondoni, hila yupo busy na magomeni.
Tupe yako yaukweli..🤗🤗🤗Twitter waongo. Makonda atashinda.
Makonda kamgaragaza Ndungulile vibaya mnolabda ashinde njaa
KAMA NDIO HIVYO. USHINDI WAKE UTATENGULIWA. TENA WAKIAMUA KUUTENGUA TU WANAWEZA KUTUMUA TAKUKURU NKMAKONDA LAZIMA AMSHINDE NDUGULILE ....MWEZI MMOJA ULIOPITA HATA KABLA TAKUKURU HAWAJASTUKA ALIWAPA VIONGOZI WALIOTARAJIWA KUPIGA KURA ...WENYEVITI NA MAKATIBU KILA MMOJA MILIONI ..AKILENGA KURA 300 ...INAELEZWA ALIGAWA ZAIDI YA MILIONI 300 ...NI WAKATI ULE ULE WIKI MOJA KABLA NDUGULILE HAJATUMBULIWA [IKIDAIWA IT WAS PLANNED ] ......ANATEGEMEWA KUPEWA WIZARA NYETI
ILA WABOBEZI TUNASEMA JPM WILL REGRET ...TUKO HAPA ....
KIJANA ALIYEMTOSA "BABA" YAKE ALIYEMBEBA KUANZIA UVCCM ..KAMA HAMJUI ..
Nilisoma hapa alitia nia jimbo moja la Dar. Hii ni matarajio ya wengi. Siku za nyuma mara kwa mara amekuwa akihusishwa na ubunge Iramba 2020. Lakini baada ya Nchemba kupewa Uwaziri akaamua kubadilisha gia angani. Nadhani aliona kama mtu amepewa Uwaziri tena karibia na uchaguzi kuna uwezekano hata akifanya vizuri kwenye kura za maoni jina linaweza lisirudi kutoka kwenye vikao vya Chama!!Kwani kitila katia nia jimbo lipi?
JESUS IS LORD[emoji120]