Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Embu fafanunua vizuri Mkuu, Ukisemaccm imenunuliwa mahali fulani inanunuliawaje?
Kule Jimbo la Moshi mjini pia ccm imenunuliwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro kumuuzia Jimbo mfanyabiashara ya mabasi ibra line. Kule singida nako chama kinauzwa kwa wafanyabiashara.Hali ni tete
 
MAKONDA LAZIMA AMSHINDE NDUGULILE ....MWEZI MMOJA ULIOPITA HATA KABLA TAKUKURU HAWAJASTUKA ALIWAPA VIONGOZI WALIOTARAJIWA KUPIGA KURA ...WENYEVITI NA MAKATIBU KILA MMOJA MILIONI ..AKILENGA KURA 300 ...INAELEZWA ALIGAWA ZAIDI YA MILIONI 300 ...NI WAKATI ULE ULE WIKI MOJA KABLA NDUGULILE HAJATUMBULIWA [IKIDAIWA IT WAS PLANNED ] ......ANATEGEMEWA KUPEWA WIZARA NYETI



ILA WABOBEZI TUNASEMA JPM WILL REGRET ...TUKO HAPA ....
KIJANA ALIYEMTOSA "BABA" YAKE ALIYEMBEBA KUANZIA UVCCM ..KAMA HAMJUI ..
KAMA NDIO HIVYO. USHINDI WAKE UTATENGULIWA. TENA WAKIAMUA KUUTENGUA TU WANAWEZA KUTUMUA TAKUKURU NK
 
Kwani kitila katia nia jimbo lipi?

JESUS IS LORD[emoji120]
Nilisoma hapa alitia nia jimbo moja la Dar. Hii ni matarajio ya wengi. Siku za nyuma mara kwa mara amekuwa akihusishwa na ubunge Iramba 2020. Lakini baada ya Nchemba kupewa Uwaziri akaamua kubadilisha gia angani. Nadhani aliona kama mtu amepewa Uwaziri tena karibia na uchaguzi kuna uwezekano hata akifanya vizuri kwenye kura za maoni jina linaweza lisirudi kutoka kwenye vikao vya Chama!!
 
Back
Top Bottom