Hahahaha
 
Mfumo wa sasa haumtaki Jerry nahisi kuna alilomfanyia ' Mwenye Chair ' ambalo pengine wengi Wetu hatulijui kwani Jamaa ' Hathaminiwi ' kabisa.
Jerry Silaa walikwazana na Magufuli enzi za mabango ya barabarani Jerry akiwa Meya wa ilala Magu akiwa waziri wa ujenzi.

Kwa kiburi cha hali ya juu mtoto akapewa na ujumbe wa kamati kuu na JK!!
 
Siyo kwenda mbeya kwenye miaka mitatu, sema jana au juzi maana mbeya ndiyo nyumbani kwangu na miaka yote napiga kura.

Karibu sana hapa city pub utafune castle light na nyama choma ya mbuzi tusherehekee kupigwa kwa Bashite

Mkuu vipi updates za mbeya vijijini?!
 

Sababu kuu ni hii tangu enzi adui mkuu wa mbeya ni CCM na siyo mgombea wa CCM. hivyo basi upinzani wenye nguvu ambao kwa sasa wanao CHADEMA kwao ni rahisi kujibebea jimbo hata kama wakiweka jiwe ili mradi tu liwakilishe CHADEMA na pia ni ngumu sana kwa mgombea yoyote yule toka CCM kupita kirahisi.
 
Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.

Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.

Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
wakristo wangapi wamo kwenye baraza la wawakilishi?. hebu fikiri kwanza kabla kukurupuka.
 
NILICHOKIONA UCHAGUZI HUU NDANI YA CCM YEYOTE ANAYEJINASIBISHA KAMA MTU WA “mfalme” WENYE CHAMA CHAO WAMEPIGA MKASI ; Mfano

Wapinzani waliounga mkono juhudi
Mwandishi anayeongoza propaganda za kumtetea mfalme - MUSIBA
Kijana mwingine anayeendesha magazeti ya kutukana watu kapigwa huko Kibaha
Mchungaji Gwajima ambaye ni Kiongozi wa kikundi Cha kikabila ( interehamwe) kinachojifanya nj Cha kumlinda mfalme “ sic

Alafu angalia watu ambao Inaonekana amewaondoa kama Gambo na Ndugulile walivyobebwa

Inakulikana wazi pia Gambo ni mfuasi mzuri wa Membe toka 2015 aliyejitahidi kuvaaa ngozi

Ccm wameonyesha uasi kwa mwenyekiti wao
 
Kura za maoni zinaenda mwisho nimefanya tathimini 90% ya washindi Kura za maoni CCM wametumia rushwa waziwazi

Wagombea wengi nazani haeajamuelewa Mwenyekiti wa CCM Taifa

Mwenyekiti atoe fundisho Kwa kukata majina yao
evidence?
 
Lakini pia hata hakuna members wa JF waziweke hapa.

Si dhani kama ni sahihi kuwa tunamtegemea yeye kutupa taarifa.
Mfano mimi nimeweka zote za mkoa wa Kigoma mapema sana, nyingine toka juzi lakini hazijawa updated.
 
Kura za maoni zinaenda mwisho nimefanya tathimini 90% ya washindi Kura za maoni CCM wametumia rushwa waziwazi

Wagombea wengi nazani haeajamuelewa Mwenyekiti wa CCM Taifa

Mwenyekiti atoe fundisho Kwa kukata majina yao
Hiyo tathmini ipo wapi?
 
Uasi upi? Hoja dhaifu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…