blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Mnamuweka majaribuni jiwe jamani!Mathayo 389
Kariuki 300
Marry Andrew mgonja 18
Enni recho mzava 7
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamuweka majaribuni jiwe jamani!Mathayo 389
Kariuki 300
Marry Andrew mgonja 18
Enni recho mzava 7
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Dah naona jirani hapo kapata kura 300 tuMathayo 389
Kariuki 300
Marry Andrew mgonja 18
Enni recho mzava 7
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
HahahahaWaliodondokea pua jana na leo Updates
Babu Tale Apeta Morogoro vijijini
Mwita Waitara apeta
*
*
Wasanii na watangazaji
1.Mc Pilipili kura 1 Bahi
2.Mwijaku kura 0 Chalii Kawe
3.Dk Issac wa Clouds Chalii Ubungo
4.Zamaradi kura 2 Kinondoni
5.Kalapina kura 1 Kinondoni
6.Steve Nyerere Chali Iringa mjini kura 6
7.Mpoki 0 Kigamboni
8.Mwana FA Muheza Chalii kura 296 nafasi ya 2
Waunga mkono juhudi
1.Lijuakali Kilombero kura 5
2.Silinde Chaliii Tumduma
3.Lazaro chalii Arusha mjini
4.Mtolea Temeke Chalii
5.Kafulila Kigoma kusiniChalii
6.Katambi Kahama Chalii
7.Ktulia Chali Kinondoni kura 11
8.Nassari chalii Arumeru Mashariki kura 22
9.Dk Mashinji kura 2 Kawe
10. Paul Gekul
11.Albert Msando
Wengine
1.Askofu Gwajima 79 Kawe
2.Pascal Mayalla kura 1 Kawe mwa Jf mwenzetu
3.Dk Mwakyembe mwenye digrii 4 ( mzee ana dharau huyu kawakejeli wajumbe wameishia la saba) chalii kura 256, wa kwanza kura 750, Kyela
4.Makonda Kigamboni Chalii
5.Kitwanga katwanga na Mnyeti huko Misungwi
6.Sipirian Musiba Chalii Mwibara
7.Goodluck Mlinga
8.Angela Kairuki
NB: Wale waliotoka upinzani na kuunga mkono juhudi wote wamedondokea pua [emoji23][emoji23][emoji23]
Kasoro Mwita Waitara
Jerry Silaa walikwazana na Magufuli enzi za mabango ya barabarani Jerry akiwa Meya wa ilala Magu akiwa waziri wa ujenzi.Mfumo wa sasa haumtaki Jerry nahisi kuna alilomfanyia ' Mwenye Chair ' ambalo pengine wengi Wetu hatulijui kwani Jamaa ' Hathaminiwi ' kabisa.
Duu we jamaa wewe!!! Nimejizuia mwisho nimechekaNdanda
Oscar Anthony Ng'itu - 250
Faraja Nandala - 154
Cecil Mwambe - 33
Mwambe analalamika ndugai apokei simu zake tena baada ya matokeo kutangazwa.
Taarifa zinawekwa Sana Ila yeye haweki update pale juuLakini pia hata hakuna members wa JF waziweke hapa.
Si dhani kama ni sahihi kuwa tunamtegemea yeye kutupa taarifa.
Siyo kwenda mbeya kwenye miaka mitatu, sema jana au juzi maana mbeya ndiyo nyumbani kwangu na miaka yote napiga kura.
Karibu sana hapa city pub utafune castle light na nyama choma ya mbuzi tusherehekee kupigwa kwa Bashite
1-Mwaka 2015 sugu alishinda kwa kura 97k dhidi ya 46k za Shitambala. Raia hawakua na imani na Shitambala baada ya Kusaliti kule Mbeya vijijini. kwa hizo asilimia 100 ulizompa sugu unadhani ushawishi wa Tulia ni mdogo kuliko wa Shitambala 2015?. Kama uko objective mkuu basi huwezi kusema Sugu atateleza huu Mwaka,
2-Dr Tulia ana mtaji mkubwa ambao umeshaonekana kwenye kura za maoni. Mwaka 2015 CCM haikua kitu kimoja maana kulikua na timu Kajuna na timu Shitambala. Mwaka huu CCM ni moja. Sasa unaanzaje kusema Sugu atateleza?. naomba unipe sababu za msingi hapo.
wakristo wangapi wamo kwenye baraza la wawakilishi?. hebu fikiri kwanza kabla kukurupuka.Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.
Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.
Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Khamis tabasamu amepita wapi mkuu?Walifungamana kura itakuwaje?
Yaani hivi hao wapiga kura za maoni wazima kweli?!!Duuh huyu mzee kapita
Kila KK itampitisha yeye.Dah naona jirani hapo kapata kura 300 tu
Majirani zangu wote wameanguka dah
evidence?Kura za maoni zinaenda mwisho nimefanya tathimini 90% ya washindi Kura za maoni CCM wametumia rushwa waziwazi
Wagombea wengi nazani haeajamuelewa Mwenyekiti wa CCM Taifa
Mwenyekiti atoe fundisho Kwa kukata majina yao
Mfano mimi nimeweka zote za mkoa wa Kigoma mapema sana, nyingine toka juzi lakini hazijawa updated.Lakini pia hata hakuna members wa JF waziweke hapa.
Si dhani kama ni sahihi kuwa tunamtegemea yeye kutupa taarifa.
Hiyo tathmini ipo wapi?Kura za maoni zinaenda mwisho nimefanya tathimini 90% ya washindi Kura za maoni CCM wametumia rushwa waziwazi
Wagombea wengi nazani haeajamuelewa Mwenyekiti wa CCM Taifa
Mwenyekiti atoe fundisho Kwa kukata majina yao
Uasi upi? Hoja dhaifu hiiNILICHOKIONA UCHAGUZI HUU NDANI YA CCM YEYOTE ANAYEJINASIBISHA KAMA MTU WA “mfalme” WENYE CHAMA CHAO WAMEPIGA MKASI ; Mfano
Wapinzani waliounga mkono juhudi
Mwandishi anayeongoza propaganda za kumtetea mfalme - MUSIBA
Kijana mwingine anayeendesha magazeti ya kutukana watu kapigwa huko Kibaha...