ninaomba matokeo ya jimbo la Chemba huko Dodoma! nimeanza kuyaomba tangu jana lakini bahati haijawa upande wangu bado!
 
Unless kama unaamini JPM ni stupid kiasi hicho ndipo anaweza kumkata Ndugulile na kumpa shavu Makonda! Na akithubutu kufanya hivyo, am telling you, Kigamboni inaenda upinzani!

Kwa Kigamboni, Makonda is nothing compared to Ndugulile unless kama huifahamu Kigamboni! Ndugulile ka-fight sana wana-Kigamboni zile enzi za kutaka kuanzisha Kigamboni City hadi serikali wakalazimika kubadili plan na kuamua Wana-Kigamboni wawe Wabia wa Kigamboni City huku mtaji wao ukiwa ardhi wanayomiliki!!

Halafu ina maana hadi leo bado kuna watu wanaendelea kuamini porojo za dawa za kulevya! I honestly speaking, kwa mara ya kwanza baada ya kupita zaidi ya mwaka ndo namsikia mtu akizungumzia ufanisi wa Makonda vs madawa ya kulevya!
 
Mod unganisheni hizi nyuzi za watetezi wa makonda zimekua nyingi mno zote Zina ujumbe unaofanana.

Mnalalamika Kama vile upinzani ndio wamepiga Kura.
 

Ukiangalia vizuri uandishi wake hutashangaa mawazo yake.

Hao ndiyo wale ambao Twaweza ilisema ni mitaji ya CCM.
 
Nasubiria nisikie majina yatakayorudi kwa jimbo la Namtumbo, ili nione kama kweli CCM ina vyombo makini vya uchunguzi. Vinginevyo business as usual. Sitaki kuvisaidia vyombo hivyo kwa kuelezea Yale yaliyotokea,
Nani ameongoza kura huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…