Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Patamu kwa Kangi, Refer Msamaha, Refer Mtu kuitwa Yesu etcPatamu hapoo
hazionyeshi ya chemba hizo zote, sijui kwanini!Mkuu
Kuna Thread Zina Matokeo
Achana nayo, hayakusaidia kwa chochote.hazionyeshi ya chemba hizo zote, sijui kwanini!
yatanisaidia, kuna jambo kubwa inabidi litendekeAchana nayo, hayakusaidia kwa chochote.
Unless kama unaamini JPM ni stupid kiasi hicho ndipo anaweza kumkata Ndugulile na kumpa shavu Makonda! Na akithubutu kufanya hivyo, am telling you, Kigamboni inaenda upinzani!
Kwa Kigamboni, Makonda is nothing compared to Ndugulile unless kama huifahamu Kigamboni! Ndugulile ka-fight sana wana-Kigamboni zile enzi za kutaka kuanzisha Kigamboni City hadi serikali wakalazimika kubadili plan na kuamua Wana-Kigamboni wawe Wabia wa Kigamboni City huku mtaji wao ukiwa ardhi wanayomiliki!!
Halafu ina maana hadi leo bado kuna watu wanaendelea kuamini porojo za dawa za kulevya! I honestly speaking, kwa mara ya kwanza baada ya kupita zaidi ya mwaka ndo namsikia mtu akizungumzia ufanisi wa Makonda vs madawa ya kulevya!
Nani ameongoza kura huko?Nasubiria nisikie majina yatakayorudi kwa jimbo la Namtumbo, ili nione kama kweli CCM ina vyombo makini vya uchunguzi. Vinginevyo business as usual. Sitaki kuvisaidia vyombo hivyo kwa kuelezea Yale yaliyotokea,
Mkono mtupu haulambwiwagombea wote wametoa rushwa, uongozi unatafutwa kwa pesa, si unaona waliokuja kuunga juhudi wamepigwa vibaya? maana wao walienda kavu kavu!
Waliobaki wana mitaji inayolingana katika ulingo wa siasa za RoryaUshindani wa Nini?
Dogo usipende wenzako walishwe ban