Ni Kijana aliekuwa mchapa kazi sana sijajua ndoto ziliishia wapi alikuwa naibu Meya Nimeona jana ameshinda Ukonga Swali langu hilo jina likifika kunako atachomoka??

Namtakia kila la kheri na wana Ukonga wote.
 
Kweli ni patashika maana bado kule juu kamati kuu kuna walakin.vigezo na masharti vitakavyo zingatiwa.
 
JF mbona mnapata kigugumizi cha ku-update matokeo ya Same Magharibi ingawa it is well known kwamba Mathayo kapata kura nyingi kuliko yule dada?
 
Anavuta bangi uyo jamaa
 
"Wakikata jina tunapigia upinzani." Alisikika mkora mmoja akitamka maneno hayo.
 

Natokea Mkoani Mara ( Musoma ), ila kama kuna ' Mpumbavu ' anayetufanya wana Mara ( Musoma ) wote tuonekane ' Wapuuzi ' ni huyo Juha tu!!!
 
Unajua unacho kiuliza? Hivi umeona hyo n laboratory ya nn?

Sijajua, nimeona kibao elekezi tu... inatosha kuhitimisha kuwa kijana ni msomi.?

Vipi kama alipiga picha tu kwenye kibao, CV yake inaonesha kasoma DIT tena Diploma... kweli kijana ni msomi.

Relax! Cheers [emoji1635]
 
Kerry ametembeza rushwa sana
Hafai, na hakubaliki Ukonga
CCM wakimpitisha, wajiandae kisaikolojia
 
Ushaur wangu kabla ujatangazania hakikisha ulishawai kuwa ata kiongozi wa vijana wa chama usika angalau ata ngazi ya kata ama tarafa. Sio unakurupuka wakat wanachama hawajawai kuona matunda yako ya uongozi katika ngazi yeyote ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…