Mzee Baba GwajiseeeBajameni, lile la Kawe nani atalizuia? [emoji28]
... shendeke'pasata ...!
[emoji28]
[emoji109] [emoji111][emoji111][emoji111][emoji95]
Kule angeshinda mapema sana bt nadhani tamaa zake za upgaji kule kingambon ndo zmemponzaUswahilini huko hawamtaki
Kuna WALAKIN, hivyo sitaongea mengi!Mzee Baba GwajiseeeView attachment 1513658
Nasikia nkamia out,ila nami naziomba hizo kura, nkamia binafsi simkubalininaomba matokeo ya jimbo la Chemba huko Dodoma! nimeanza kuyaomba tangu jana lakini bahati haijawa upande wangu bado!
Inasemekana katibu wake amekamatwa na TAKUKURU akigawa rushwa.Ndiyo maana nasikiliza redio yake ni masifa kwa kwenda mbele hadi yanakera
Inasemekana katibu wake amekamatwa na TAKUKURU akigawa rushwa.
Namimi nimeulizia sana matokeo ya Mpwapwa lakini hadi sasa hayajawekwa humuMatokeo ya mpwapwa plz
Ngoja tusubir wadau...Namimi nimeulizia sana matokeo ya Mpwapwa lakini hadi sasa hayajawekwa humu
Kwakweli, maana hakuna namna ni kusuburi tuNgoja tusubir wadau...
Mtia nia wangu naona toka jana hapatikani so nashindwa kujua what's really happening thereKwakweli, maana hakuna namna ni kusuburi tu
Sio Mtoro Nyange huyo?πππMtia nia wangu naona toka jana hapatikani so nashindwa kujua what's really happening there
Jamaa mmoja msomi hivi,sio mbunge wa zamani.Jimbo la Mufindi kusini naomba nijue matokeo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hapana bwanaSio Mtoro Nyange huyo?[emoji23][emoji23][emoji23]