Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Bajameni, lile la Kawe nani atalizuia? [emoji28]

... shendeke'pasata ...!
[emoji28]
[emoji109] [emoji111][emoji111][emoji111][emoji95]
Mzee Baba Gwajiseee
Screenshot_20200721-165510~2.jpg
 
ninaomba matokeo ya jimbo la Chemba huko Dodoma! nimeanza kuyaomba tangu jana lakini bahati haijawa upande wangu bado!
Nasikia nkamia out,ila nami naziomba hizo kura, nkamia binafsi simkubali
 
Huyu mgombea ubunge kibamba na temeke wana udugu?
 
Back
Top Bottom