Weee usitie tyuuh neno dea, ila tunaojua ukweli acha iwe hivyoooh.Hahaha.. Hapa hata sitii neno maana sijui kama ni kweli bwana.. Nilivyokuwa naona anaonyesha malove hivi kwa Shammy.... Oooh
Yaani sijui hata kama huwa anawaza mara mbili kabla hajaongea[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan hadi ajabu huyu mtu hana busara kabisaah
Umesahau kumuambia waganga asiwasahau bwana la sivyoo awe mtu wa Mungu kweli kweli.Kua karibu na watu. Shirikiana na viongozi wa mashina na matawi kwenye shughuli za maendeleo ya jimbo
Jitokeze kila mara kuhamasisha wananchi na uwe na mawazo ya ubunifu kama kuandaa matamasha ya vijana ya uzalishaji mali, vikoba na hata michezo
Jiangalie kama una dharau, jeuri au kiburi na kuwajibu watu vibaya ujirekebishe mapema. Misiba yao iwe yako na harusi zao uchangie japo kwa pongezi. Pita na utambulike katika kata nyingi za jimbo kadri uwezavyo, taaaratiiiibu but consistently kwa miaka mitatu kabda ya uchaguzi
La mwisho lakini lenye umuhimu mkubwa ni kwamba mkono mtupu haulambwi. Hapa sikufundishi nisije nikaingia hatiani ila akili kumukichwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pesa za hivyo ziniepuke mpenzi lol....Shoga jiandae na waganga!!Pesa Dada,pesaaa!!!
Hahaha hahaUmesahau kumuambia waganga asiwasahau bwana la sivyoo awe mtu wa Mungu kweli kweli.
Atawaza vipi jeuri, dharau na kiburi ndo vimeujaza moyo wake khaaaahYaani sijui hata kama huwa anawaza mara mbili kabla hajaongea[emoji3][emoji3]
Upepo unaonesha Waitara atapata support ya kura kutoka koo za Wairegi na wanyamongo ambao ni wengi kidogo kuliko wale wa ukoo wa Heche.Kwani wanaokwenda kupiga kura October, 2020 Jimbo la Tarime vijini wamezaliwa wapi?
Eeeh umeshusha nondo hatari aisee ngoja niisevu for the use in the near future... Lol naweza tembelea upepo wa umaarufu wa babu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hivi kule bado giza tororooo yaani mjengoni kiulaaani mtu ukiwa serious....Kua karibu na watu. Shirikiana na viongozi wa mashina na matawi kwenye shughuli za maendeleo ya jimbo
Jitokeze kila mara kuhamasisha wananchi na uwe na mawazo ya ubunifu kama kuandaa matamasha ya vijana ya uzalishaji mali, vikoba na hata michezo
Jiangalie kama una dharau, jeuri au kiburi na kuwajibu watu vibaya ujirekebishe mapema. Misiba yao iwe yako na harusi zao uchangie japo kwa pongezi. Pita na utambulike katika kata nyingi za jimbo kadri uwezavyo, taaaratiiiibu but consistently kwa miaka mitatu kabda ya uchaguzi
La mwisho lakini lenye umuhimu mkubwa ni kwamba mkono mtupu haulambwi. Hapa sikufundishi nisije nikaingia hatiani ila akili kumukichwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yana mwisho.... Hapaswi kusahau kuwa upepo hugeuza uelekeo.. Na leo haitakuwa keshoAtawaza vipi jeuri, dharau na kiburi ndo vimeujaza moyo wake khaaaah
Hata hawazi hilo yeye kabisaaah,Yana mwisho.... Hapaswi kusahau kuwa upepo hugeuza uelekeo.. Na leo haitakuwa kesho
He must be a nutcaseHata hawazi hilo yeye kabisaaah,
Kiufupi ni kwamba :
Siku ya Jumapili wajumbe walikua wanapewa Tsh. 150,000 na Mama Anna ili wamchague Mr.Denis
Upo sahihi kaka.Ndio faida ya kuwa na vyama mbadala!
[emoji28]
[emoji109] [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji95]
Baada ya kugundua kuwa Mwalimu Felix anapata ushawishi Mkubwa alimfukuza kaziHuyu mama kwa pesa ya mboga, hajambo.
Unashangaa nn Wakati rushwa na ccm ni km uji na mgonjwaMchuano Mkubwa ulikua kwa Mr. Denis aliyekua Katibu wa Mbunge aliyemaliza muda wake Ndg Anna Tibaijuka.
Mchuano huu ulikua dhidi ya Mwalimu Felix Bwahama ambae alikua Mkuu wa Shule ya Babro Johnson (KAJUMULO) inayomilikiwa na Anna tibaijuka.
Wagombea walikua wengi lakini wenye Nguvu walikua wawili wakifuatiwa karibu na DMO wa Hospital ya Muleba.
Kiufupi ni kwamba :
Siku ya Jumapili wajumbe walikua wanapewa Tsh. 150,000 na Mama Anna ili wamchague Mr.Denis