Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Hahaha.. Hapa hata sitii neno maana sijui kama ni kweli bwana.. Nilivyokuwa naona anaonyesha malove hivi kwa Shammy.... Oooh
Weee usitie tyuuh neno dea, ila tunaojua ukweli acha iwe hivyoooh.
 
Kua karibu na watu. Shirikiana na viongozi wa mashina na matawi kwenye shughuli za maendeleo ya jimbo

Jitokeze kila mara kuhamasisha wananchi na uwe na mawazo ya ubunifu kama kuandaa matamasha ya vijana ya uzalishaji mali, vikoba na hata michezo

Jiangalie kama una dharau, jeuri au kiburi na kuwajibu watu vibaya ujirekebishe mapema. Misiba yao iwe yako na harusi zao uchangie japo kwa pongezi. Pita na utambulike katika kata nyingi za jimbo kadri uwezavyo, taaaratiiiibu but consistently kwa miaka mitatu kabda ya uchaguzi

La mwisho lakini lenye umuhimu mkubwa ni kwamba mkono mtupu haulambwi. Hapa sikufundishi nisije nikaingia hatiani ila akili kumukichwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umesahau kumuambia waganga asiwasahau bwana la sivyoo awe mtu wa Mungu kweli kweli.
 
Kua karibu na watu. Shirikiana na viongozi wa mashina na matawi kwenye shughuli za maendeleo ya jimbo

Jitokeze kila mara kuhamasisha wananchi na uwe na mawazo ya ubunifu kama kuandaa matamasha ya vijana ya uzalishaji mali, vikoba na hata michezo

Jiangalie kama una dharau, jeuri au kiburi na kuwajibu watu vibaya ujirekebishe mapema. Misiba yao iwe yako na harusi zao uchangie japo kwa pongezi. Pita na utambulike katika kata nyingi za jimbo kadri uwezavyo, taaaratiiiibu but consistently kwa miaka mitatu kabda ya uchaguzi

La mwisho lakini lenye umuhimu mkubwa ni kwamba mkono mtupu haulambwi. Hapa sikufundishi nisije nikaingia hatiani ila akili kumukichwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eeeh umeshusha nondo hatari aisee ngoja niisevu for the use in the near future... Lol naweza tembelea upepo wa umaarufu wa babu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hivi kule bado giza tororooo yaani mjengoni kiulaaani mtu ukiwa serious....
 
Mchuano Mkubwa ulikua kwa Mr. Denis aliyekua Katibu wa Mbunge aliyemaliza muda wake Ndg Anna Tibaijuka.

Mchuano huu ulikua dhidi ya Mwalimu Felix Bwahama ambae alikua Mkuu wa Shule ya Babro Johnson (KAJUMULO) inayomilikiwa na Anna tibaijuka.

Wagombea walikua wengi lakini wenye Nguvu walikua wawili wakifuatiwa karibu na DMO wa Hospital ya Muleba.

Kiufupi ni kwamba :
Siku ya Jumapili wajumbe walikua wanapewa Tsh. 150,000 na Mama Anna ili wamchague Mr.Denis
 
We ulikuwa kwa wale walioshindwa bila shaka,uko kijani rushwa ni kawaida yenu,Takukuru si wapo,mngetoa taarifa uko,
 
Mchuano Mkubwa ulikua kwa Mr. Denis aliyekua Katibu wa Mbunge aliyemaliza muda wake Ndg Anna Tibaijuka.

Mchuano huu ulikua dhidi ya Mwalimu Felix Bwahama ambae alikua Mkuu wa Shule ya Babro Johnson (KAJUMULO) inayomilikiwa na Anna tibaijuka.

Wagombea walikua wengi lakini wenye Nguvu walikua wawili wakifuatiwa karibu na DMO wa Hospital ya Muleba.

Kiufupi ni kwamba :
Siku ya Jumapili wajumbe walikua wanapewa Tsh. 150,000 na Mama Anna ili wamchague Mr.Denis
Unashangaa nn Wakati rushwa na ccm ni km uji na mgonjwa
 
Je Takukuru hawakunusa hapo ?Tunaambia hao jamaa wanachapa kazi kweli kweli imekuwaje rushwa zilizagaa huko?
Naamini Kama ndivyo kamati kuu itafanya kazi yake ya kuwafyekelea mbali ili haki itamalaki.
 
Back
Top Bottom