Mtulya vip ?
 
Uchaguzi ni maigizo
 
Kwahiyo watu wanaona bora wakacoment kule kuliko kupoteza muda kwenye mivyama ya siasa
Bora wafanye hivyo maana mwisho wa siku wanasiasa watakwambia hakuna adui/rafiki wa kudumu kwny siasa huku wao wanagonga cheers huku wananchi wanatoana macho.
 
Kule jimbo
Kama kura za wanachama sio zinazomteua kugombea kwanini wapitishwe katika hizi taratibu?
Jimbo la moshi mjini Mr shayo na Mr priscus walijiandaa kwenye utoaji wa rushwa kwa kipindi kirefu Sana.Hivyo ccm tusipoangalia majina hayo kwa ukaribu sana.chama kinaelekea mikono isiyo salama ya rushwa.Kinondoni Kura xinaendelea kuhesabiwa, Lukuvi anapeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…