Bajameni, lile la Kawe nani atalizuia? πŸ˜…
... shendeke'pasata ...!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌✌✌πŸ’₯
Dah! Hawa kondoo wa "bwana" kweli ni kondoo. Jamaa alisema utumishi wa Mungu ni cheo kikubwa kuliko siasa na kondoo wakashangilia. Leo Tena anawaambia "panua panua" wanashangilia tena.
 
Mjombaake umetoswa we ni Mtulia nini uliepata kura 11!

Subir kuna nafasi nyingine za Ukurugenz,ukatibu tawala,Ubunge wa kuteuliwa.
 
Kigambani kulikuwa na wagombea 3 tu? Uingo mwingine bhana
 
Kwani wao ndio wasimamizi wa uchaguzi mkuu? maana kasema wazee wa kiislam, ni kwa vipi wao ndio waamue? mbona moshi na mbeya wakristo ni wengi so kwanini isiwe wazee wa kikristo ndio waamuzi maeneo hayo na sio tume?...

Yaani tabu sana.. hata ofisi wakiwa waislam wengi wanasema udini. Ila pakiwa na wakristo wengi hamna neno inasikitisha sana
 
Dalili za Mvua n mawingu.... Kuna watu watajinyonga. .

Hapa mniambie.

Matokeo ya
makonda,
mkumbo,
katambi,
Babu tale,
kabudi,
shabibi,
abood,

pia matokeo ya Jumla Kakonko..... Kuna mzee na kijana fln Jana nilikutana nao wanalilia tu hata kwa watu ambao si wajumbe
 
Naanza na mbunge wa jimbo la HANANG Mkoani Manyara Merry Nagu wew nakuomba upumzike 25yrs inatosha hamna jipya utakaloleta au kufanya. Pumzika kwa heshima usiondoke kwa fedheha. Asante sana ndugu mwenyekiti.
25 years!. Kwani F. Sumaye alikua jimbo gani mkuu kipindi akiwa PM?
 
jamani msiwe na wasiwasi hapa kigamboni bado wajumbe wanapata chakula nadhani makonda amechinjwa mana amekaa peke yake na sura yake imekaa kama analia na kujiandaa kwa vurugu.
Nilimuona anatoka Navy uko sijui kufanyaje
 
Tarimba alikuwa Diwani. Jamaa kajijenga kisiasa ndani ya kata yake,jimbo pia. Sasa madiwani wenzake kama alikuwa na mahusiano vizuri nao.Aliyenichekesha ni Zamaradi alifikiri wanaomfollow instagram ndo watapiga kura.
Wasanii wanajiona kwamba wapo juu kwa kuweweseka na followers wa insta wakajua hao ndio watakaowapigia kura πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ yaani waliounga mkono juhudi wote wanapigwa uppercut chembe kidevu wanatemeshwa viazi vya moto.
 
Tarimba alikuwa Diwani. Jamaa kajijenga kisiasa ndani ya kata yake, jimbo pia. Sasa madiwani wenzake kama alikuwa na mahusiano vizuri nao. Aliyenichekesha ni Zamaradi alifikiri wanaomfollow instagram ndo watapiga kura.
Tushamjua ni CCM hatumfollow tena.
 
Tarimba alikuwa Diwani. Jamaa kajijenga kisiasa ndani ya kata yake, jimbo pia. Sasa madiwani wenzake kama alikuwa na mahusiano vizuri nao. Aliyenichekesha ni Zamaradi alifikiri wanaomfollow instagram ndo watapiga kura.
[emoji23][emoji23]eti wanaomfollow insta

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…