Bruno Toto
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 477
- 546
Aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni, mbunge aliyekua anatetea kiti chake ni MtuliaAlkuwa mbunge wa kinondoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni, mbunge aliyekua anatetea kiti chake ni MtuliaAlkuwa mbunge wa kinondoni
Subirini awe mbunge atawanyoosha kuanzia bungeni hadi uraianiLazima awe maarufu....... We mpaka anapoka haki ya kuishi ya watu wengine
Bajameni, lile la Kawe nani atalizuia? 😅
... shendeke'pasata ...!
😅
👊 ✌✌✌💥
Umeelewa swali la muulizaji?Aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni, mbunge aliyekua anatetea kiti chake ni Mtulia
Kwani wao ndio wasimamizi wa uchaguzi mkuu? maana kasema wazee wa kiislam, ni kwa vipi wao ndio waamue? mbona moshi na mbeya wakristo ni wengi so kwanini isiwe wazee wa kikristo ndio waamuzi maeneo hayo na sio tume?...
25 years!. Kwani F. Sumaye alikua jimbo gani mkuu kipindi akiwa PM?Naanza na mbunge wa jimbo la HANANG Mkoani Manyara Merry Nagu wew nakuomba upumzike 25yrs inatosha hamna jipya utakaloleta au kufanya. Pumzika kwa heshima usiondoke kwa fedheha. Asante sana ndugu mwenyekiti.
Haha jimmyfoxxgongo 😂😂😂😂😂😂Leta majibu hapa tena ntatembea huku najinyea
Nilimuona anatoka Navy uko sijui kufanyajejamani msiwe na wasiwasi hapa kigamboni bado wajumbe wanapata chakula nadhani makonda amechinjwa mana amekaa peke yake na sura yake imekaa kama analia na kujiandaa kwa vurugu.
Bado matokeo
Japo pia konda anaweza kukushangaza
Wasanii wanajiona kwamba wapo juu kwa kuweweseka na followers wa insta wakajua hao ndio watakaowapigia kura 😀 😀 😀 😀 yaani waliounga mkono juhudi wote wanapigwa uppercut chembe kidevu wanatemeshwa viazi vya moto.Tarimba alikuwa Diwani. Jamaa kajijenga kisiasa ndani ya kata yake,jimbo pia. Sasa madiwani wenzake kama alikuwa na mahusiano vizuri nao.Aliyenichekesha ni Zamaradi alifikiri wanaomfollow instagram ndo watapiga kura.
98% ya Wachangiaji wote ni kuhusu ibilisi makondaMpaka sasa uzi una wachangiaji 500+
Endeleeni kula mtori minyama ipo chini
Tushamjua ni CCM hatumfollow tena.Tarimba alikuwa Diwani. Jamaa kajijenga kisiasa ndani ya kata yake, jimbo pia. Sasa madiwani wenzake kama alikuwa na mahusiano vizuri nao. Aliyenichekesha ni Zamaradi alifikiri wanaomfollow instagram ndo watapiga kura.
[emoji23][emoji23]eti wanaomfollow instaTarimba alikuwa Diwani. Jamaa kajijenga kisiasa ndani ya kata yake, jimbo pia. Sasa madiwani wenzake kama alikuwa na mahusiano vizuri nao. Aliyenichekesha ni Zamaradi alifikiri wanaomfollow instagram ndo watapiga kura.
nimefrah sana hii.Asanteni knondoni. Msaliti kaangukia pua kabisa