MATOKEO YA KWIMBA TUONE KAMA YULE MANSOOR WA MOIL KATAMBA TENA
 
Jamani, tunaomb akujua kura za maoni kw Arusha Mjini, Kawe, Moshi Mjini, Misungwi, Ilemela, Nyamagana, Musoma Mjini Dodoma
 
Kigamboini vipi mbona kunatetesi mwanamfalme chali
 
Mdogo wake Deo filikunjombe, anaitwa phili[ Filikunjombe amepata ngapi? huyu anahombea Ludewa na ndiye kapandikizwa pale TCRA kudukua wapinzani pamoja na akina Makamba, kinana na nappe.
 
Acha kujidanganya mkuu. Mbunge mstaafu na mapesa kibao ya pensheni tena ni daktari anaanzaje kuchunga ng'ombe?
Kuchunga ng'ombe ni hobby tu, akipenda atafanya hivyo ili kudumisha mila, au akiamua ataongeza mtaji wa pesa ya pensheni kwenye shughuli zake
 
Macho na masikio ni Kigamboni wazee,yaani huwezi amini nimepita eneo moja Wapo ukumbini kuteua lakini wote wanafatilia Kigamboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…