Jamani niwakumbushe kuna kuongoza kura za maoni na kuna kupitishwa kugombea. Hivi ni vitu viwili tofauti, tusifurahi leo tukaja kushangazwa siku ya kupitishwa na kamati kuu.
 
Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?

Maendeleo hayana vyama!
Hawakupigiwa kura za maoni na ndicho kilikuwa kilio cha maccm
 
Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.

Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.

Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Kabla ya Zito alikuwepo Peter Serukamba

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…