Walioko huko watupe picha Betty ya joto lilivyo, Mbeya, Kigamboni, Arusha, Misungwi nk japo mie nabashiri vinara kuwa nje ya tatu bora.
*Matokeo ya Kura za* *maoni ngazi ya* *ubunge Mbeya* *mjini* .. *idadi* *ya* *Kura* (924)

*1Tulia Ackson* =843
2.Vikita =01.
3.Mwakipesele =11
4.Mwakaloge =2
5.Mwaifani =3
6.Bwiga =1
7.Fugale =1
8.Mabula =16
9.Mwademba= 2
10.Wagombea wengine(23) = 00
 
Sasa Sisi hii ' Link ' yako ya nini Mkuu? Unajua kabisa ' Interest ' yetu ni kujua kama Makonda kapita au hapana kwanini usitujulishe hadi Ututese?

Kama huna bd shauri yako... hiyo ni live Mie najuaje aloshinda [emoji3166]
 
Jamani niwakumbushe kuna kuongoza kura za maoni na kuna kupitishwa kugombea. Hivi ni vitu viwili tofauti, tusifurahi leo tukaja kushangazwa siku ya kupitishwa na kamati kuu.
Yap, Mwanri atapitishwa kwa Siha ingawa kabwagwa na engineer
 
*Matokeo ya Kura za* *maoni ngazi ya* *ubunge Mbeya* *mjini* .. *idadi* *ya* *Kura* (924)

*1Tulia Ackson* =843
2.Vikita =01.
3.Mwakipesele =11
4.Mwakaloge =2.
Sasa hao wengine si bora wangeacha tu kugombea,ona sasa kilichowakuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…