Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?

Maendeleo hayana vyama!
Moja!! Hawakuwekewa wapinzani.
Mbili Mh. Rais aliwaone hurum wasipoteze viinua mgongo vyao.. Sasa wenye chama chao wamerudi kwa speed ya Light.. [emoji112][emoji106]
 
tumsikilize nani kwa Kigamboni?

ila ni kweli tunapenda Makonda ashindwe sababu kamdhihaki Rais wetu mpendwa kapewa cheo kikubwa usawa huu sote tuko kijiweni halafu kampuuza! hii si sawa!
 
Come on man, naipenda CCM ila hawa wajinga wajinga fyeka, bunge liwe na vichwa sio zero brain.
 
Jumla ya Kura 109

Hamad Masauni 86
Abood Hassan Ali Mwinyi 9

Kura zilizobakia wagombea waliobakia wamegawana kura moja moja

Your browser is not able to display this video.
 
Nani kuibuka kidedea kura za maoni za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la ukerewe.

Mchakato wa upigaji kura umemalizika na sasa kinachosubiriwa ni wagombea kusaini matokeo na mshindi kutangazwa.

Taaarifa zaidi kukujia hivi punde

UPDATES
aliyepita kura za maoni jimbo la ukerewe kupitia CCM ni JOSEPH MKUNDI mbunge ambaye anarudi kutetea kiti chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…