Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.

Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.

Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
1 Kwanini Mkristo akigombea Zanzibar iwe hawezi kushinda ?
2.Kwani wazee wa kiislamu pale Ujiji wanamtishia kitu gani Profesa Ndalichako kama sifa anazo ?
 
Pesa haina ugeni bwashee!
 
Wazee wa ujiji ambao ni waislamu wanamzuia vip Prof Ndalichako asiweze kushinda kama sifa anazo ?
 
Bunda mjini kwa mzee Wasira
 
1 Kwanini Mkristo akigombea Zanzibar iwe hawezi kushinda ?
2.Kwani wazee wa kiislamu pale Ujiji wanamtishia kitu gani Profesa Ndalichako kama sifa anazo ?

Angalia tu jina Prof Joyce Lazaro Ndalichako.

Hicho tu kinampunguzia kura Kigoma Ujiji.

Ujiji panamfaa Zitto Zuberi na Abdul Nondo
 
Ndalichako anagombea Kasulu.

Serukamba ni mgalatia lakini alikuwa mbunge wa Kigoma mjini kabla hawajabadilishana majimbo na Zitto!
kuna mdau anadai sababu ya Ndalichako kukimbilia Kasulu eti kuna wazee wa Kiislamu ujiji ndio wamemfanya akimbilie Kasulu , ndio nikamuuliza aniambie kwa lipi hao wazee wawe na nguvu za kumkimbiza Prof Ndalichako
 
Angalia tu jina Prof Joyce Lazaro Ndalichako.

Hicho tu kinampunguzia kura Kigoma Ujiji.

Ujiji panamfaa Zitto Zuberi na Abdul Nondo
Usipende sana kujadili vitu ambavyo huvijui mwaka 2005. Peter Serukamba(Mkristo) alimshinda Dr Warid Kabourou( Muislam), unalifahamu hilo ? ndio maana nashangaa mnavyoandika msivyovijua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…