Polepole anasema waliowaacha katikati ya mto, nao katika chama watawaacha hapohapo, kwani wamemsaliti Rais aliyetaka wamsaidie.

Hawawezi kuwa na watu wasiotosheka.

Ametoa kauli thabiti isiyo na mashaka kuwa chama hakitawapitisha wale wote ambao Rais aliwateua kwenye nafasi mbalimbali za serikali. Amesema wamekula vinono halafu wamemsaliti aliyewapa vinono.

Source: Kipindi cha Calculator RFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee acha tu sijawah hata kuonja soda, ila leo heinken itanihusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…