Uko huenda kura rasmi bado, Eng. Maimu ameikana hii.Mamaeeeee Tutaelewana tu !! Mercenaries Wote wanatemeshwa za chembe!
Huyu kilichomponza alidandia siasa uzeeni akadhani umaarufu au hela vitambeba, anyway vimembeba kiasi Ila haijatoshaKimei sio jina geni mpaka huko kijijini.. Wanamjua sababu aliwajengea CRDB kule Marangu mgombani kabisa..
Ndio maana nataka nimjue pia huyo Koola ni nani??
Binafsi sijapenda kabisa kwa ccm kumrudisha tena ndungulile sisi wanakigambon hatumkubali kabisa huyu mtu hakuna alicho Fanya hatuna soko hatuna barabara nzur yani ccm mmpeteza jimbo tunampa mpinzani mnakera sanaaa
Aisee hii sasa dharau haaa[emoji3]Wasanii mjifunze, hacheni shobo na siasa, mpoki kapata kura-0
Mama vipi kuhus prince wa Dar, imekuajeeeeeeehKama ndo hivi Gwajima hatoboi.Siasa sio kuwa maarufu kwenye mitandao ya jamii.
Nani kakwambia mbunge analeta pesa za kujenga miundombinu, Ndugulile oyeee.Binafsi sijapenda kabisa kwa ccm kumrudisha tena ndungulile sisi wanakigambon hatumkubali kabisa huyu mtu hakuna alicho Fanya hatuna soko hatuna barabara nzur yani ccm mmpeteza jimbo tunampa mpinzani mnakera sanaaa
Jamaa akili mbili lakin anajikuta mbabe balaa[emoji3][emoji3][emoji3]watu mna maneno
Wamesahau hata ndio alikuwa anawajaza CRDB🤣🤣🤣🤣Yaaani.ila sio mbaya kwa mara ya kwanza Dr.Kimei kupata kura nyingi kiasi hiki.
Prince Makonda.Kwani nani ameshinda kigamboni?
Tulia sindano isikukatikie!Binafsi sijapenda kabisa kwa CCM kumrudisha tena ndungulile sisi wanakigambon hatumkubali kabisa huyu mtu hakuna alicho Fanya hatuna soko hatuna barabara nzur yani CCM mmpeteza jimbo tunampa mpinzani mnakera sanaaa
Hapa naona kama kuna mchezo umechezwa hivi, Mpoki ni geresha tu ila kura zake zinaenda kwa MakondaWasanii mjifunze, hacheni shobo na siasa, mpoki kapata kura-0
Lakini pia tofauti ya kura 9 sio kumpiga chini kiivo.Kujenga CRDB huko kijijini sio ishu, ishu aliweka close connection na wakazi wa huko? Wamempiga chini wana sababu hao waliopiga kura za kulpitisha, kama amgepita hapa off course kwenye ubunge angepita.
Lakini huyo Dr. uaraza hapiti.Uko huenda kura rasmi bado, Eng. Maimu ameikana hii.