Binafsi sijapenda kabisa kwa ccm kumrudisha tena ndungulile sisi wanakigambon hatumkubali kabisa huyu mtu hakuna alicho Fanya hatuna soko hatuna barabara nzur yani ccm mmpeteza jimbo tunampa mpinzani mnakera sanaaa
Ungechukua fomu wewe Basi. Kama Mpoki na RC mstaafu wameshindwa.
 
Mtumalizie basi jamani
 
Lakini nina hisi Kimei anaweza kupewa kwenye vikao vya Chama!
Most likely atapewa. Ukizingatia pia utafauti wa kura 9 ni chache sana.

Kimei anauzika hata kwa wapinzani, huyo Koola anaweza asiwe na ushawishi nje na wanachama wa CCM Vunjo ambao pia ni wachache.
 
Kigoma mjini mbona Selukamba kashinda mara mbili na si Muislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…