Na ndungulile je kapata ngapi?Nimehesabu kura za Makonda amepata 122.
Tayari mbna, kati ya faustina na paulina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh bado hapa
Apigwe tu chini huyo!!
Hapo sawa na ucheze mechi moja ya league alafu ufungwe uanze kucheza mpira kwa vidole akidraw uyo akafungwa napita shame on youMAJINA YANAENDA 3
LINALORUDI SIRI YA KAMATI NK
HAPO NDIPO NA CHEKA NA SIASA
NGOJA NIKAMALIZIE DOMPOYANGU
Makonda amegombea kinyume na ridhaa ya JPM.Kwahiyo unahisi huyo NDUGULILE ndo ameshapitishwa na CCM kuwa mgombea? Subiri athibitishwe huko mbele
Tayari kashapita huyo.Makonda Amepata kura 122 kati ya 398 ngoja Dr Ndugulile tuone atapata ngapi.
TV uchwara wanachukua habari JF ndo wakuletee 😀😀😀Mbona huku kwa TV bado hawajatangaza
Ukabila hauna nafasi Tanzania,labda kenye huko na Rwanda.Kwakuwa kwenu usukumani mna mawaziri na manaibu na makatibu wakuu na wakurugenzi mambo yenu yanatembea tu mnachukulia poa au sio...
Tena huyo Domo ndio angepata 0 kabisa.Wasanii walijua followers wa insta tweeter na fb watawapigia kura, hata hyo diamond angeingia wangemchinja
Ova
Bado zake hajahesabu.Na ndungulile je kapata ngapi?
Uzuri kura zimehesabiwa live!Makonda haipukiki ndugu ngoja atangazwe afu ntakupa sababu
duh ngoma mgumu kweli.Nadhani hawaruhusiwi , siajaona wagombea wakipiga kura kote
Swali zuri sanaHivi hawa wanaopata 0 (sifuri) hawakushiriki kupiga kura?
Wapi nimeandika Kimei kazaliwa ili awewaziri wa fedha?Kimei ndiye alizaliwa awe waziri wa fedha? Stupid post.