Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Poa Mkuu lakini wengine wagombea wamepata 0 kwahiyo kama jumla ya kura 398 possibilities ya Ndungu kupata zaidi ya 122 ni kubwa.Mkuu Makonda akipigwa njoo pm nakupa vocha ya jelo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa Mkuu lakini wengine wagombea wamepata 0 kwahiyo kama jumla ya kura 398 possibilities ya Ndungu kupata zaidi ya 122 ni kubwa.Mkuu Makonda akipigwa njoo pm nakupa vocha ya jelo
Mmmmhhh...ya kweli haya mkuu?Makonda amegombea kinyume na ridhaa ya JPM.
Bashiru na Polepole walimfikishia ujumbe wa Mwenyekiti akaupuuza.
Hawezi kupitishwa dirishani.
Kwa kifupi alicheza karata zake vibaya.
Ni kweli? Nisije nikaanza kushangilia kumbe si kweli😂😂😂😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hannah njoo huku
Kura hazijatosha. Japokuwa kapata kura 120+Mama vipi kuhus prince wa Dar, imekuajeeeeeeeh
Mkuu mimi nina furaha kubwa kuliko wewe ila basi tu mkuu wanguKwa Furaha hii niliyonayo Leo Mkuu hapa sasa nawaza Usiku huu nikanunue ' Magoma ' ya Posta au Morogoro Store au pale zamani CD Upanga.
Umewadharau sana mkuuUnauliza au unapigia jibu mstari?
Yaani hajapitaaaaaa?Kura hazijatosha. Japokuwa kapata kura 120+
Utaratibu wa ulivyo ni kwamba kura za maoni za leo ni mwanzo na wala sio mwisho wa mchakato. Hayakatwi majina, hayachujwi majina bali baada ya wagombea wote kupigiwa kura na wajumbe, Kamati ya Siasa ya Wilaya inapeleka matokeo na mapendekezo yao kwa vikao vya juu kwa maamuzi ya mwisho
Jina moja linapitishwa kutokea juu na wengine wote waliogombea watalazimika kumuunga mkono mteule wa CC tena bila kinyongo wala fikra za kumuhujumu kwani adhabu yake ni kufukuzwa uanachama!
Maelezo yangu ni ya jumla, yamezingatia taratibu za kwenye kanuni za Chama na miongozo kuhusu chaguzi za teuzi, sina taarifa za ndani kama Mzee Gentamycine mwenyewe
Daah, kama kweli basi ni safi sana. Kitila namkubali sana. Jamaa zimepangika kichwani.Ubungo
Kitila Mkumbo 172
Mwantum 73
NdugulileTayari kashapita huyo.
Nacheka lakini naogopaaaaa😆😆Bashite anahesabu kura kwa kutetemeka sana!
Matokeo yamehesabiwa live kupitia channel 10 ,kila kitu kilikuwa wazi,ambacho bado ni kutangaza rasmi lkn kila kitu kipo wazi! Na Dr kaongoza mbaliiiMbona watu wanasema matokeo bado?