NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Aaah wapi,,Ndungu alimdis Rais kwenye Corona.Ni vema ukaugulia maumivu ya kupigwa za uso na Ndugulile [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wapi,,Ndungu alimdis Rais kwenye Corona.Ni vema ukaugulia maumivu ya kupigwa za uso na Ndugulile [emoji23][emoji23]
Kimei na pesa zake hajatoboa ?Wachaga wamekula vijisenti na kura hawajampigia.VUNJO
Enock Koola =187
Dr Charles Kimei 178
Umewadharau sana mkuu
Lo...yangu masikio na machoYa hakika kabisa kutoka ndani
Duuuuuuih weeeeee usiseme hivyoooohMmeshachana mkeka bora mngemuuwa Mwanry
Matokeo mbona yako wazi, jamaa kapigwa chiniYaaan weee acha tyuuuuh, nasubiri kuona hilo tokeo.
Ndo mbuge jimbo la kigamboni mpende msipende[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni kutukana kabla hamjavuka mto! Mwenzenu anasubiria majina yatoke kamati kuu maana huo uchaguzi hapo siyo mwisho. Kamati za wilayani zinapeleka majina matatu taifa yanaenda kuchujwa huko na kupatikana moja na mwenyekiti alishasema anaweza kuleta mtu aliyeshika nafasi ya pili kutegemea ameamkaje!Tupoooooooooh
Aaah wapi,,Ndungu alimdis Rais kwenye Corona.
Hajapita,mathematically ingawa Ndugulile bado hajakwenda mbele kuhesabu kura zake.Yaani hajapitaaaaaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan hadi aibu khaaaaahKimei na pesa zake hajatoboa ?Wachaga wamekula vijisenti na kura hawajampigia.
Wale watu waachage hivyo hivyo akili zao wanazijua wenyeweVijijini kama hauna connection nao sahau hata kama una hela na mjini na nchi inakujua. Huko watu wanajitambua nini wanataka.
MweehAcheni kutukana kabla hamjavuka mto! Mwenzenu anasubiria majina yatoke kamati kuu maana huo uchaguzi hapo siyo mwisho. Kamati za wilayani zinapeleka majina matatu taifa yanaenda kuchujwa huko na kupatikana moja na mwenyekiti alishasema anaweza kuleta mtu aliyeshika nafasi ya pili kutegemea ameamkaje!