Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hannah njoo huku
Ni kweli? Nisije nikaanza kushangilia kumbe si kweli😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kwa hiipresha anayosababishia watu makonda akishinda apewe UPM kabisa aisee
 
Na wajumbe wa CCM wasirogwe wakawapitisha waunga juhudi watatumia nguvu kubwa sana kuwanadi. Wananchi hawana imani nao tena. Wenyewe walijidanganya kuwa wanapendwa na wananchi kumbe wananchi waliwapa kura wakati wakiwa upinzani kwasababu ya kuichukia tu ccm kipindi kile hivyo upinzani ukawa na nguvu. Hivyo kwasasa hakuna sababu ya kurudisha tena hao jamaa.
 
Utaratibu wa ulivyo ni kwamba kura za maoni za leo ni mwanzo na wala sio mwisho wa mchakato. Hayakatwi majina, hayachujwi majina bali baada ya wagombea wote kupigiwa kura na wajumbe, Kamati ya Siasa ya Wilaya inapeleka matokeo na mapendekezo yao kwa vikao vya juu kwa maamuzi ya mwisho

Jina moja linapitishwa kutokea juu na wengine wote waliogombea watalazimika kumuunga mkono mteule wa CC tena bila kinyongo wala fikra za kumuhujumu kwani adhabu yake ni kufukuzwa uanachama!

Maelezo yangu ni ya jumla, yamezingatia taratibu za kwenye kanuni za Chama na miongozo kuhusu chaguzi za teuzi, sina taarifa za ndani kama Mzee Gentamycine mwenyewe

Tunaangalia ya Leo na si ya Kesho Mkuu kwani hata Wewe hapo ulipo hivi sasa hujui kama Kesho utaamka au ndiyo nitolee hiyo huko Mavumbini.
 
Back
Top Bottom