Kweli cheo dhamana, makonda mpole kanywea.

Mc: paul...
Makonda: mimi??
Mc: Sio paul wewe, yule mwingine rudi kakae?
Makonda: sawa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah jamani wadau lol
 
Hayo ni mawazo yako sababu hujui historia ya ccm huko nyuma. Minyukano mingi ilisababishwa na mtu kukubalika lakini kundi la watu wachache linampitisha sababu ya rushwa.
Sasa safari hii minyukano itakua mikali zaidi coz wingi wa kura sio ushindi bali itategemea na mwenyekiti siku hiyo ameamkaje maana yeye ndiyo ataeendesha vikao vya kujadili majina yote na kuamua nani atiwe krosi nani apewe ridhaa.

Walioshinda na kutiwa krosi na mwenyekiti lazima wataleta minyukano.
 
Ha! Kumbe mshindi wa hapa sio kwamba ndo kashatoboa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…