Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Kweli cheo dhamana, makonda mpole kanywea.

Mc: paul...
Makonda: mimi??
Mc: Sio paul wewe, yule mwingine rudi kakae?
Makonda: sawa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah jamani wadau lol
 
Hayo ni mawazo yako sababu hujui historia ya ccm huko nyuma. Minyukano mingi ilisababishwa na mtu kukubalika lakini kundi la watu wachache linampitisha sababu ya rushwa.
Sasa safari hii minyukano itakua mikali zaidi coz wingi wa kura sio ushindi bali itategemea na mwenyekiti siku hiyo ameamkaje maana yeye ndiyo ataeendesha vikao vya kujadili majina yote na kuamua nani atiwe krosi nani apewe ridhaa.

Walioshinda na kutiwa krosi na mwenyekiti lazima wataleta minyukano.
 
Acheni kutukana kabla hamjavuka mto! Mwenzenu anasubiria majina yatoke kamati kuu maana huo uchaguzi hapo siyo mwisho. Kamati za wilayani zinapeleka majina matatu taifa yanaenda kuchujwa huko na kupatikana moja na mwenyekiti alishasema anaweza kuleta mtu aliyeshika nafasi ya pili kutegemea ameamkaje!
Ha! Kumbe mshindi wa hapa sio kwamba ndo kashatoboa?
 
Back
Top Bottom