Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Kwani akiwajengea tawi la bank Ndio amewapa hela au utajiri?matawi ya bank hayajawahi huwa shida maranguKimei sio jina geni mpaka huko kijijini.. Wanamjua sababu aliwajengea CRDB kule Marangu mgombani kabisa..
Ndio maana nataka nimjue pia huyo Koola ni nani??
Nimekusoma kiongozi wanguTunaangalia ya Leo na si ya Kesho Mkuu kwani hata Wewe hapo ulipo hivi sasa hujui kama Kesho utaamka au ndiyo nitolee hiyo huko Mavumbini.
Bado mkuu tusubiri mpaka vikao vya Dodoma viishe. Tunavyoendelea kuombea Makonda adondoke ndiyo tunapandisha hasira za yule mzee anaweza kumrudisha ili kutunanga!Ha! Kumbe mshindi wa hapa sio kwamba ndo kashatoboa?
Ameshinda Yeye au Makonda Mkuu? Kuna ' Mijitu ' kama wakina tindo ' Wananichanganya ' mno kwa kusema Adui yangu Makonda ameshinda.
Yes Kampita ila kwa kura chache sana sio nyingi ni kama 10 hadi 20.Mungu asaidie tu
Makonda kapata kura 120
Tupieni matokeo tuyaone!
yule owden...... anagombea?NITAWASHANGAA WALE WATANI ZANGU WA KILOLO HUKO IRINGA WAKIUCHAGUA UKOO WA WEZI WA FEDHA NA MALI ZA CHUO KIKUU CHA IRINGA, ZAMANI TUMAINI UNIVERSITY. KITAKUWA NI KITUKO CHA MWAKA. NASIKIA SASA HIVI WAUMINI WANACHANGISHWA KUFIDIA WIZI ULIOFANYWA NA HUO UKOO WA WAGOMBEA UBUNGE KILOLO. KUMBE WALIIBA ILI ZIWASAIDIE KUFANYA KAMPENI ZA UBUNGE!