Inaonekana alipata zali tu
Hapana sio zali!

Alichuana na Abdullah Mwinyi mtoto wa rais mstaafu awamu ya pili, Mimi nafikiri Ndugulile alishishinda kwa mambo matatu;
1. Kutetea mradi wa mjimpya Kigamboni.

2. Suala la ukazi pia lilimbeba kwasababu ndugulile wazazi wake ni wenyeji wa mji wa Kigamboni na makazi yao yapo Kigamboni.

3. Amewashika sana na kuwakumbatia wazee maarufu/wenye majina na ushawishi mkubwa katika mji, hivyo walimpigia sana debe.

Ila safari hii mchuano mkali zaidi muda utatoa jibu sahihi
 
4.baadhi ya wajumbe kutompenda DAB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…