Huyu ni team Makonda. Haamini alichokiona.huyu mtu kutangaza matokeo ni tatizo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana hofu mnooohhuyu mtu kutangaza matokeo ni tatizo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona makond kamkazia macho mtangazaji[emoji38][emoji38][emoji38]
anamwambia(si unanijua lakini kamuulize lisu
Ah mgombea anapataje kura 0 ina maana hata yy mwenyewe hajajipigia kura ? Na kalaki kake kamekwenda pyeeeeee bora angenunua mbuzi akala mwezi mzimaHuu mchakato wa CCM una kasoro yaani uchukuwe fomu halafu hakuna campaign; huo ushawishi wa kupigiwa kura unatokana na nini.
Uchaguzi wa namna hii unapendelea incumbencies na watu almaarufu; wengine ni wasindikizaji tu.
Kumbe bado upo..sikiliza tokeo hilo..Huyu ni team Makonda. Haamini alichokiona.
So sad Makonda kashinda KigamboniHuyu ni team Makonda. Haamini alichokiona.
Saa itakuwaje
Naona mjumbe yule🙂CCM naona wameandaa bouncer kabisa pale nyuma ya MC
Ushaamini sasa!!?Huyu ni team Makonda. Haamini alichokiona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti pyeeeeeeh, khaaaajAh mgombea anapataje kura 0 ina maana hata yy mwenyewe hajajipigia kura ? Na kalaki kake kamekwenda pyeeeeee bora angenunua mbuzi akala mwezi mzima
I wish nikufahamuSweetheart, nitag basii wakiweka matokeo ya kuaminika, maana nakimbizana na thread mpaka pumzi imekata lol.!!
Hahahanaona makond kamkazia macho mtangazaji[emoji38][emoji38][emoji38]
anamwambia(si unanijua lakini kamuulize lisu
Hilo Jimbo ni la comred pambaruNa nyamagana kuna mziki huku wakuu
Wanasema ukiona Kura sifuri ujue hakuwa na sifa ya kujipigia kulaAh mgombea anapataje kura 0 ina maana hata yy mwenyewe hajajipigia kura ? Na kalaki kake kamekwenda pyeeeeee bora angenunua mbuzi akala mwezi mzima
Gambo apite, anafaa na anakubalika na wanachiMakonda haipukiki ndugu ngoja atangazwe afu ntakupa sababu